Davido athibitisha kuwa hana bifu na Diamond

Davido athibitisha kuwa hana bifu na Diamond

Nlichogundua na ndo ukweliz ni kwamba..Davido kesha ona Diamond hakamatiki.Ndo mana kaimiss sana kampani yake.Jaman huyu dogo ana nyota ya ajabu sana seriously.Damond anavothaminiwa sasa hv NIGERIA inafanya mpaka wasanii wa kule wana sense kitu flan ambacho hawakikutarajia.Mwishowe Davido anaona NO WAY OUT.Davido anatamani historia ijirudie.He miss those days.

hata hivyo davido ameshirikishwa nyimbo nyingi sana lakini hakuna iliyowahi kubamba kama ile kwa Africa so anaelewa mwenyewe mchango wa dogo kwake..

jaribu hata kucheki some shows alizoapload youtube yake, umetumia sana background sound ya my #1 kuliko nyimbo zake, lastly show iliyobamba zaidi last year ni performance ya my #1 jins watu walivyokuwa wanafurahia hatariii ""Dsquare""
 
Mpenda sifa kama kawaa!ameona hazungumziwi sasa hivi amekuja na hili
Nmeona mheshmiwa drama queen at her best, akiona tumeconcentrate mahali nae anajitokeza kama kibakuli cha vumba ha ha ha ilimradi tu asemwe anasingizia et chameleon kaandika teamwema mwanamke muongo huyu mfyuuuu
 
Huyo mwanamke keshapagawa na domo wetu huyoo!!halafu Platnum sasa hivi yuko mbali kinyamaaaa!tunakimbiza Africa sasa hiviiii!!woyoooooooooooooooooo!!
 
Attachments

  • 1435872744510.jpg
    1435872744510.jpg
    58 KB · Views: 608
Wabongo hapanaaaa, afu jana kulikuwa na party amazing nimemuona bro wake davido kapost yupo na president hawana mda wenyewe bifu za mashabiki maandazi tu...
 
Wabongo hapanaaaa, afu jana kulikuwa na party amazing nimemuona bro wake davido kapost yupo na president hawana mda wenyewe bifu za mashabiki maandazi tu...

Yaani mojawapo ya sababu zinazofanya nimpende diamond ni hiyooooo ya kutopenda bifu na wasanii wenzie!!!ukiona msanii anabifu na diamond basi ujue huyo msanii ndio msharii!!
 
Go ahead mamii. Evrthng 4 Diamond. Najivunia sana kuishi kumuona Diamond. I feel blessed.
Nikusanye tu mapicha yake nije niwasimulie wanangu, that once in history we had the MAN, THE CHOSEN ONE.

Jana nimevote mpaka keys zika stuck. Nimfungua akaunt kabisa.
Mamaaaaaaaa!!!mwaka wetu huu jamaniiiiii!!mpaka nimekosa cha kusema mimiiii.....ngoja nikavote fastaaa
 
Back
Top Bottom