Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Ni yeye ndio alianza hiyo kampeni...... akaona kwenye akaunti yake haitoshi akawa anaenda ku comment na kwenye page za watu wengine wafanye hiyo campaign
Na Wewe mmoja ya waliomtukania marehemu mama ake?Kwann mnatoka povu hivi kumtetea davido
kwann mnatoka povu hivi kumtetea davido
Kwanini Diamond alaumiwe.... ye ndio aliwatuma wakaandike matusi kule kwenye akaunti zao????? umemuona Diamond hukuwaona Albert Msando, Choka Dj na wengineo.......
Nawalaumu wale wanaotumia hiyo mitandao kazi yao ikiwa ni kutukana tu..... wamenichosha hao
Status ya davido aliyoandka N they cheat again lol! imetafsiriwa vbaya na watanzania na kuonyesha kipaj chao cha matusi WAKAMTUSI MAMA YAKE.
Diamond ndie mtu wa kwanza anatakiwa kulaumiwa kwan alkurupuka baada ya kuandika yeah we cheat again same night..yeye ndie aliyewafanya watu wamshambulie DAVIDO kuwa alimansha sisi tumecheat kupata tuzo.
UKWELI NI HUU.Davido aliandka vile juu ya tukio la CRIS BROWN NA mpenz wake KARUUCHE ambao walidanganya duniani wameachana na kusameheana.
DAVIDO aliona kama drama! akaona wametudanganya tena kwan si mara ya kwanza kutengana kama wana bifu na kurudiana.Ukifuatilia twter utaona BROWN na KARUUCHE waktukanana juu ishu ya DRAKE huku still wanapendana na bado wapenz.
PILI sisi hatutoi tuzo wala hatupang bg brother kama davdo mnasema aliongelea juu ya ushnd wa big brother bas haiwahusu nyiny inawahus big brother ambao ndio wanaendesha mchakato wa mshnd.
NDO MANA KASEMA THEY CHEAT AGAIN wao bba si nyie nigeria wamekosa ushnd karbu miaka 5 mfululzo.DIAMOND JIFUNZE MAISHA NI WATU
Heaven ni one of the people naowaheshmu jf.Hapa hujaona tatzo diamond kuandka status inayomjbu davido.Hao uliowataja hawana ushawish mkubwa kama DIAMOND alipoandka matusi yalzd si UUNGWANA
Davido ndo nani,maana namsikia kwenye bigbrother,kwenye escrow etc
Davido ndo nani,maana namsikia kwenye bigbrother,kwenye escrow etc
wewe unayemtetea davido huwajui wanigeria vizuri. Hao watu dharau zimejaa mpaka kwenye miguu. Ingia kwenye blog zao walivyotukana kwamba wao wana stahiri ushindi na sio nchi kama tz ambayo haijui kuongea english.
Tatizo wabongo tunapenda kuwaona watu wa nchi nyingine kama miungu ata kama wakikudharau. Wanageria ata ukikutana nao nchi za nje, kawaida yao kuipondea tanzania.
We uliyotoa hii mada huwajui wanigeria unawasikia tu
ndugu tujiamini na nchi yetu na watu wetu, acha kuumiza kichwa eti davido katukanwa. Hao watu wanastairi hivyo kwasababu wao wenyewe respect ndogo sana
Kwanini Diamond alaumiwe.... ye ndio aliwatuma wakaandike matusi kule kwenye akaunti zao????? umemuona Diamond hukuwaona Albert Msando, Choka Dj na wengineo.......
Nawalaumu wale wanaotumia hiyo mitandao kazi yao ikiwa ni kutukana tu..... wamenichosha hao
Wewe unayemtetea Davido huwajui wanigeria vizuri. Hao watu dharau zimejaa mpaka kwenye miguu. Ingia kwenye blog zao walivyotukana kwamba wao wana stahiri ushindi na sio nchi kama TZ ambayo haijui kuongea English.
Tatizo wabongo tunapenda kuwaona watu wa nchi nyingine kama miungu ata kama wakikudharau. Wanageria ata ukikutana nao nchi za nje, kawaida yao kuipondea Tanzania.
We uliyotoa hii mada huwajui wanigeria unawasikia tu
Ndugu tujiamini na nchi yetu na watu wetu, acha kuumiza kichwa eti Davido katukanwa. Hao watu wanastairi hivyo kwasababu wao wenyewe respect ndogo sana