Davido (David Adedeji Adeleki): They cheated again! (as Idris wins)!

diamond ndio chanzo ajifunze kupga kmya kama ally kiba alivyo.

Hatakama unachuki na DIAMOND ila tetea taifa lako kwanza alafu huyo Chibu atafuata, na kama hukuelewa fuatilia comment ambazo zilifuata hapa chini ndio utajua wanigeria walimaanisha nn……!!!!!
 
Chinga One dharau na majivuno anayo Sana (km wanigeria almost wote walivyo)...

Ndugu kumbe wewe unawajua wanigeria vizuri.
Hawa watu always wamejaa dharau, majivuno, ujuaji. Sio wote, lakini 98% ya wanigeria wako hivyo.

Infact, huwezi piga story na mnigeria masaa mawili,bila kupondea nchi yenu na nyumbani kwenu. As if kwao ni kama london. Wanajiona wako juu sana, wakati Lagos ni chafu zaidi ya dar.

sijasahau P-Square walivyokuja bongo wakajifanya hawamjui Diamond. Mimi sio shabiki wa diamond, ila kama mtanzania thats was disrespect na ulimbukeni kutomtambua our best artist. Wakati wote wako kwenye industry moja ya music. Angeniambia hamjui mrisho ngassa, ningekubali. Kujibu kwamba hamjui diamond, it reflects kwamba hatambui mziki wa bongo flava, wala hajawahi usikia popote.

Barack Obama (the most busy man in this world). Alimataja Ndugu yetu Hasheem Thabit na kumtambua. And sio kwamba Hasheem ni mchezaji bora NBA. No, Obama showed respect to people of Tanzania na kuthamini mchango wa vipaji vyetu. Ingawa hasheem kwa NBA sio kivile.

Respect is more important than anything. Wanaija hawana respect, na sijui kwanini waTZ tunawanyenyekea hawa watu. Au ndo nchi ya amani, mtu akitukosea heshima tunaendelea kumlamba viatu.
 
Last edited by a moderator:
Hata hivyo Diamond ana nyimbo zinazovutia zaidi kuliko za Davido. Hata Ukienda huko huko Nigeria anakubalika sana. Kila hit ina impact yake, Zambia ya Davido ilikuwa "skelewu" sasa ni " my number one" wivu unawasumbua.
 
Hatakama unachuki na DIAMOND ila tetea taifa lako kwanza alafu huyo Chibu atafuata, na kama hukuelewa fuatilia comment ambazo zilifuata hapa chini ndio utajua wanigeria walimaanisha nn……!!!!!

Domo hana kosa bora alivo andika hivo kwahyo Davido ndo yuko right wa Nigeria wana dharau sana ukiangalia hata mitandao yao walivokua wanatukana bora walivojibiwa wasidharau nchi nyingine wapuuzi tu hao wanaomtetea Davido
 
matajiri wa Nigeria wamempa yule jamaa aliyebwagwa na Idrissa kwenye fainali ya Big Brother Hotshot, dola 350000. Ili awe amepata pesa nyingi kuliko Idrissa.

wanaamini wao wana akili na wana pesa kuliko Africa Mashariki yote..
 
davido naona ameifuta ile post yake instragram ambayo alikuwa anampongeza diamond baada ya kushinda tuzo3
 
we ndo umeandka utumbo hv lol! eti anaposema again anamaansha na chanel 0.yeye katalk about bba karbu miaka 4 naija haishnd bba hata ilyopta walkarbia kushnda.

wewe sio mtanzania, pia wewe ni cuma. hivi unajua naija wamechukua mara ngapi BBA? unajua ni nch gani inaongoza kuchukua BBA?!! kwahyo kila mnaija akishiriki lazima ashnde?! hivi BBA ingekuwa inafanyika naija ingekuwa wasouth wapo kimyaa na inafanyika kwao kila mwaka!
 
Mimi ni shabiki damu wa Diamond na hapa nimemtetea mara kibao tu lakini lazima ukweli usemwe kwa kuwa mimi sio shabiki maandazi nisiyetaka kuangalia ukweli hata kama unaonekana... Davido hakumaanisha tuzo za Channel O bali alimaanisha BBA... fuatlia hata zile tweet za wana-Naija mara baada ya Davido ku-tweet... wote walikuwa wanam-dis Biggie na BBA kwa ujumla! Na hata yule tajiri wao kutoa $ 350,000 kunathibitisha kwamba bifu lao wao ni BBA!!

Tatizo la wa-Naija ni ile kujiona wapo on top of everything na ndio maana hata matokeo ya mwaka jana ya BBA waliyalalamikia vile vile pamoja na kwamba wameshawahi kushinda mara kibao. Haya ni maoni ya wana-Naija mwaka jana:
Soma zaidi: allAfrica.com: Nigeria: Lessons From BBA
Nyingine hii hapa: Haya ni baadhi ya maoni ya wa-Naija kuhusu matokeo ya juzi:
Okonkwo Chiedu December 9, 2014 at 11:14 am
What is Africa without Nigeria? pull Nigeria out of the show and see if it will still have a name……Idris was fake but Tayo showed his real self but am sure you did not notice that
tish December 8, 2014 at 10:36 am
I just wish Nigerians will pull out of the show. It's no longer a level playing ground. Regionalism has killed the show. Tayo will be fine, winning is not everything, contrary to what people want you to believe.
Zaidi: Big Brother Hotshots: Nigeria's Tayo Comes in 2nd as Tanzania's Idris Wins the BBA Title

Maoni ya media nyingine, mchambuzi anaanza:
Nigerian Twitter cried foul…The word Ojoro rang out loud! But this is Big Brother Africa, not INEC. They had a reputable auditing firm count the votes.

Kwahiyo maoni ya Davido hayakuwa na uhusiano wowote na tuzo za Channel O... sawa na wenzake, Davido nae anaona ni kama vile wa-Naija wanahujumiwa na wengine kusikilizia regionalism. Lakini the way Diamond alivyojibu, na Watanzania walio wengi, tukaamini Davido ana-dis hadi ChO Awards ingawaje maoni ya wa-Naija kwenye tweet ya Davido yalionesha wazi kwamba walikuwa wanazungumzia BBA!

So, hata kama wa-Tanzania ku-react, kwanza Diamond alitakiwa kujiridhisha kwamba Davido alimaanisha nini hasa na baada ya kufahamu, asingelichukulia hili suala too personal to the point anaonekana mashabiki wake ndio wanamtusi Davido!Lingebaki kuwa ni suala la Watanzania against Davido na wenzake wanaomaini Mtanzania hawezi kushinda na sio kulifanya ni suala la Diamond na mashabiki wake!!
 
chige davido anasema...they cheated again.....Unaelewa maana ya again? Again kwa kiswahili ni Tena....kama ni tena kwa hio hio mara nyingine waliyocheat ni ipi?
 
Last edited by a moderator:

Post ndefu ila umeandika upoyoyo mtupu.. They cheat again, ina maana tulicheat lini tena?? try to connect the dots
 
chige davido anasema...they cheated again.....Unaelewa maana ya again? Again kwa kiswahili ni Tena....kama ni tena kwa hio hio mara nyingine waliyocheat ni ipi?
Sa' nimekupa hapo mifano ya mwaka jana walivyokuwa wanasema kwamba BBA wame-cheat? Hii ni quote baada ya BBA 2013 kutangazwa mshindi: Quote hii walikuwa wanaonesha kwamba wandaaji walikuwa wameshasafisha njia: Hayo yote ni mwaka jana..... mwaka huu wakadhani mambo yatakuwa tofauti lakini matokeo yake, mtu wao akapigwa chini kwa mara nyingine! Sina haja ya ku-quote hayo maoni ya Wanaija hapo juu lakini wote wanalalamika kwamba kwa mara nyingine, BBA wame-cheat huku wengine wakilalamikia regionalism! Aidha, soma maoni ya hao wan-Naija waliochangia tweet ya Davido hapo juu... out of five, wawili wameitaja BBA/Biggie moja kwa moja na mmoja amesema "they don't want to give it to a Nigerian....!" Haya sasa, "it" nini? Kwanini tu-assume ni tuzo za Channel O wakati topic under discussion ipo open kwamba ni BBA na wengine wametaja moja kwa moja?

Kwahiyo ikiwa watu wameanza kutoa mapovu tangu BBA ya mwaka jana na hadi sasa ukitembelea mitandao yao unakuta wanavyomwaga mapovu(Mhivi sasa wanajifariji na $ 350K alizopewa mtu wao), inaonesha wazi kwamba hiyo "again" ni hizo hizo tuzo za BBA!

Let me tell you this. Kabla sijafanya utafiti, hata mimi nilizani Davido amemaanisha hiyo "again" ame-include ChO awards lakini nilipofanya utafiti nikagundua Naijaz huwa wanafungua hadi Facebook fans page kwa ajili ya kampeni! Sasa inapotokea kwamba hata baada ya jitihada zote hizo bado wanapigwa chini; haishangazi kukuta wanatoka povu hasa ukichanganya na kiburi chao cha kujion wao ni super power kwa kila kitu!
 
Post ndefu ila umeandika upoyoyo mtupu.. They cheat again, ina maana tulicheat lini tena?? try to connect the dots
Ni kutokana na upoyoyo wako ndio maana umeshindwa kuelewa na hutakaa uelewe kwavile huonekani kama una uwezo wa kuelewa.
 
wewe poyoyo hakuna aliyekuelewa..
I doubt if you worth even a minute of my time, ready spent 50 seconds... 5 left for "Like" clicking so as you can't exceed you're real worthy of less than a minute!
 
Ngoja boko haramamu amsikie wamtoe mavi yote big up wabongo ila domo umezdiiiii##%#shobo punguza unaonaee yote wewe ooh rafiki wangu kumbe punga lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…