Dupe
JF-Expert Member
- Jan 21, 2013
- 1,668
- 811
diamond ndio chanzo ajifunze kupga kmya kama ally kiba alivyo.
Hatakama unachuki na DIAMOND ila tetea taifa lako kwanza alafu huyo Chibu atafuata, na kama hukuelewa fuatilia comment ambazo zilifuata hapa chini ndio utajua wanigeria walimaanisha nn !!!!!