Siwezi kuwalaumu, we deserve that...Huko Instagram wanigeria wamepamba moto ni sheeeedah tunatukanwa balaa
Nani alikuambia nchi yao imeendelea? Yani unavyoona video za kina p-square au davido unajua nigeria iko hivyo? Au unavyoangalia movie zao?
Nakuhakishia Tanzania mtu anakaa kwa amani kuliko Lagos. Waliowahi fika wanajua hilo.
Security is worst in nigeria, unatapeliwa au kuibiwa mchana kweupe kila mtu anaona. Uchafu ni zaidi ya manzese, corruption escrow ni cha mtoto.
Wewe hushangai wanigeria wako mataifa mengine wanahangaika hawataki kurudi kwao ata kusalimia??
Jombaa acha uwongo bwashee wewe umefika Nigeria ipi?
Je unajuwa population ya Wanigeri?
Je unajuwa maana ya maendeleo?
Je unajuwa wakati nchi yenu mnaota kuhusu flyover Nigeria hasa Abuja na Lagos zipo za kumwaga tu?
Je unajuwa kwamba Uingereza kuna njaa sasa hivi na raia matutusa kama wewe wanapewa chakula cha msaada?
Bandiko lako unapaswa kushare na wanywa kahawa watakuona genious kweli.
Mi nimefika Tanzania ina afadhaliJombaa acha uwongo bwashee wewe umefika Nigeria ipi?
Je unajuwa population ya Wanigeri?
Je unajuwa maana ya maendeleo?
Je unajuwa wakati nchi yenu mnaota kuhusu flyover Nigeria hasa Abuja na Lagos zipo za kumwaga tu?
Je unajuwa kwamba Uingereza kuna njaa sasa hivi na raia matutusa kama wewe wanapewa chakula cha msaada?
Bandiko lako unapaswa kushare na wanywa kahawa watakuona genious kweli.
Nigerians think kwamba matokeo yamechakachuliwa, wanahisi South Africans na nchi zote za SADC zimeungana kuwa toa kwenye entertainment Industry.
Tokea tuzo za Channel O last weekend na leo BBA
Diamond's response:
mmmhh! hii movie inakoelekea sio kuzuri hata kidogo, ila wanaijeria wana dharau sana aisee, kisa nchi yao ina maendeleo basi kila mambo mazuri wapate wao na tuwachekee tu.
Huko Instagram wanigeria wamepamba moto ni sheeeedah tunatukanwa balaa
Tatizo anajiona best sana Wanaijeria ndo wanajua kila kitu akishinda asiye Mnaijeria wana cheat Davido na Wanaija wana mambo ya kipuuzi sana
najaribu kupitia pitia comments za miezi saba iliyo pita,asante jf kwa kutunza kumbukumbu.
Kinacho endelea huko instagram jamani ni aibu kwa watanzania tumeonyesha uduni wa mawazo na ufinyu wa akili daah shame aisee
All in all,mie siungi mkono matusi lakini nawashangaa watanzania kwa unafiki wenu!Wageni na watu wa mataifa wengine mnawaona bora kuliko nyie!!Davido hakufanya poa,mi sio shabiki wa dai ila dai ni mtz mwenzangu!Hell no we didn't cheat!so to speak alivo retweet dai ni sawa tu!!Matusi ya wanaija mmeyaona!wanavoponda mmeona?tukemee matusi sio kupindisha tweet ya davido!!Ha we can do better pia!!Go! Go! Tz...hata bila Davido Nassib angefanya poa!!Sipendi urafiki wao uishe ila rafiki yako akikuzingua kisa ni rafiki utakaa kimya kama kondoo?no unampa makavu na urafiki unasonga na adabu ndo inakuwepo sasa!
Wana dharau hao siku Niko na wawest Africa wakawa wana shangaa simu yangu eti na wewe Una simu nzuri tunajua Nyie ni maskini walinikeraje wanatujua kuwa si ni choka mbaya wangejua
Watu watamtetea sana Davido lakini ukweli unabaki kua tweet yake ya mwanzo kabisa ilikua na negativity na alikusudia kutunanga wa-TZ alichofanya ni kucheza na akili zetu.
Binafsi nawaunga mkono wa-TZ wenzangu wanaojitoa kwenye utumwa wa kiakili wa kutotaka kuburuzwa na hawa wa-Nigeria,kama mtu anafuatilia vizuri trend ya hii saga atagundua uyu Davido ana chuki za waziwazi mfano recently post ya IG
View attachment 209375
Kama uta-read btn the line utagundua kua toka mwanzo alikusudia nini hata comments za Nigeria ziko na mtazamo hasi waziwazi.
Naona wengi wanalalama kuhusu matusi,siungi mkono matusi ila nashangaa wa-Tz wanavyolaumu upande mmoja kua Davido katukaniwa mama ake mnasahau kuna wa-Nigeria wanatutukania mama zetu bila uwoga utadhani mama zetu wote wapo hai na wengine hata uko IG hatujawahi ku-comment,tumeitwa baboons,gays,maskini,hatujasoma,we from the jungle alafu unataka watu wakae kimya kuna ambao hawawezi kuvumilia dharau acha watusaidie kutujibia katika lugha ambayo wao wanaitumia(matusi).
hatari sana.
Ndugu yangu ChingaOne watanzania wenye akili timamu wanahesabika wengi wao "Utapiamlo" ume_weaken kabisa thinking capacity hawana kumbukumbu kabisa.
kuna mtu kamtukania davido mama yake nimefurahi davido alivyomjibu kistaarabu sana yaani mi ningelia kwa haya
sijui watu tukoje kitu kidogo tusi la mama pole we uliyetukana na ukajibiwa kistaarabu