Davido (David Adedeji Adeleki): They cheated again! (as Idris wins)!

balaa tupu
 
Attachments

  • 1434431022613.jpg
    52 KB · Views: 197
jf never lie....thank u jf kwa kumbukumbu.

Dah kwel Jf never lie nimeamka na hii nimecheka sana. Nimekuja kuona how ppl forget easily dah. Ndo hawa hawa wanakesha kumpigia kura Davido na kumsahau Diamond aliyemchana rafki yke wakaribu Davido kwa ajili ya heshima ya Watanzani duh" hii ndo Tz
 
maandishi don' lie.....thank u jf.

Fyokooo hata katiba inabadilishwaaa!
Mmemtukana sana Kiba mmeniudhi....eti hastahili ni sawa na davido alivosema hatustahili nlikasirika
Sasa hapa mmenivurugaaaa nlivote for wizkid kura 160 jana leo navote for davido 240
Uzalendo my foot!
 
And what do you think yo trying to insinuate???? Yo under estimating me joh!!

Namshangaa!
Mie mwenyewe kaniquote kisa nililaani matusi alomwagiwa Davido na nilipinga Davido alivosema tumecheat, nilijaribunkuwa mzalendo once. Chinga One, unajua michango yangu ilivokua, sikuwahi kumkashifu diamond katika hilo swala.Nilimuunga mkono.
Ila ninyi mashabiki viboga mmenibadili mtazamo wangu kabisaaa,
Mmejaa inda na shari, mna maneno machafu na mnapenda kujisifi sifu.Nmeitwa mchawi kisa namshabikia Kiba.
Leo hii mnasema Kiba hakuatahili, mbona Tuzo za Diamond sisi mashabiki wa kiba tuliunga mkono! Au kwa kuwa safari hii it involved diamond?
Hell nooo!
Mmeshatutukana sana na sasa tumebadili mtazamo...vote vote! Vote for Davidooo
 
Last edited by a moderator:
Dah kwel Jf never lie nimeamka na hii nimecheka sana. Nimekuja kuona how ppl forget easily dah. Ndo hawa hawa wanakesha kumpigia kura Davido na kumsahau Diamond aliyemchana rafki yke wakaribu Davido kwa ajili ya heshima ya Watanzani duh" hii ndo Tz

Heshima ya wanannchi???
 
Fyokooo hata katiba inabadilishwaaa!
Mmemtukana sana Kiba mmeniudhi....eti hastahili ni sawa na davido alivosema hatustahili nlikasirika
Sasa hapa mmenivurugaaaa nlivote for wizkid kura 160 jana leo navote for davido 240
Uzalendo my foot!

teh teh teh teh!!
 
teh teh teh!!
 
Last edited by a moderator:

Na hiii mishabiki yake zumbukuku ndio inayoleta balaa na kumponza D, now wanajifanya wemaaaa wamelowaaaaa, nyoooooooo hiii inaitwa mwaga mboga nimwage ugali, kwani sh.ngapi!!! Mnavuna mlichopanda
 
Last edited by a moderator:

we dada uko vizuri upstairs...!!
 
Last edited by a moderator:
Sasa ukipitia ndo unafikiri haitabadilishi uhalisia. Miandiko ya wengi sio sheria na ndo mana peopleeeee do change wako dynamic na mabadiliko kutokana na certain context.

Nao kila siku humu wanaimba kuwa wasanii wabadilike!! Eboo kumbe mabadiliko ni given!! Sasa mbona sisi tumefanya mabadiliko wanashangaa!!! Au mabadiliko yapi walikuwa wanayaongelea!
 
Nao kila siku humu wanaimba kuwa wasanii wabadilike!! Eboo kumbe mabadiliko ni given!! Sasa mbona sisi tumefanya mabadiliko wanashangaa!!! Au mabadiliko yapi walikuwa wanayaongelea!

hhhhaahhhhaaaaa...!!!
 
Inakuaje unajipendekeza kwa MTU anayelikejelj Taifa lako eti unampigia kura hahahaahahah halafu akishinda anakutukana na wewe,baba yako ,mama yako coz wote wapo ndani ya Taifa lako hahahahah so sad

Na akishindwa anasema mmecheat haaahhahah

Tubadilike tuthamini vya kwetu kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…