Mdakuzi
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,294
- 6,872
Wizkid ana bifu na Davido, kwa hiyo si unajua tena adui wa adui ni rafiki? Nimecheka sana nilipoona alikoamua kutokea Wizkid, na amefanya hivyo makusudi ili kumchoma Davido. Ila huyo Wizkid ndio nyoka haswa, pia ni mbaguzi sana, kwani usipokuwa half-caste kama nifah, hakupi nafasi ya kushiriki kama model wa video yake.
Alikwenda Ghana kushoot video yake alingozana na Boss wa record label yake Akon, na akakuta ameandaliwa wasichana weusi watupu, akawakataa na kuanza upya kutafuta wasichana wa kushiriki kwenye video yake, ambao aliwachukua walio half-caste na wale waliojichubua ngozi kwa mkorogo.
Ova
Last edited by a moderator: