Davido (David Adedeji Adeleki): They cheated again! (as Idris wins)!

Davido (David Adedeji Adeleki): They cheated again! (as Idris wins)!

Ebu ona mwenzake wizkid anavyo show love anaga malingo na chuki za kiboya boya kama yy mtu mfupi davido

Poor davido Lol in your voice

Wizkid ana bifu na Davido, kwa hiyo si unajua tena adui wa adui ni rafiki? Nimecheka sana nilipoona alikoamua kutokea Wizkid, na amefanya hivyo makusudi ili kumchoma Davido. Ila huyo Wizkid ndio nyoka haswa, pia ni mbaguzi sana, kwani usipokuwa half-caste kama nifah, hakupi nafasi ya kushiriki kama model wa video yake.
Alikwenda Ghana kushoot video yake alingozana na Boss wa record label yake Akon, na akakuta ameandaliwa wasichana weusi watupu, akawakataa na kuanza upya kutafuta wasichana wa kushiriki kwenye video yake, ambao aliwachukua walio half-caste na wale waliojichubua ngozi kwa mkorogo.
Ova
 
Last edited by a moderator:

@niffah :what::what: mmmmmh Mdakuzi 🏃🏃🏃🏃🏃🏃
 
Hii issue niliisikia tena wanaija wakalalamika sana kwa nini hakuwepo model mweusi hata mmoja?
Je hakuna warembo weusi?
Hahahaaaa that half-caste thou.....
 
Last edited by a moderator:
Hii issue niliisikia tena wanaija wakalalamika sana kwa nini hakuwepo model mweusi hata mmoja?
Je hakuna warembo weusi?
Hahahaaaa that half-caste thou.....

Yeah! Iliwasumbua sana hiyo kitu, coz ilifichuliwa na team yake, kwa kiasi fulani ilimwacha na lawama Akon. Hahahaa half-caste...!!!
Ova
 
Watu watamtetea sana Davido lakini ukweli unabaki kua tweet yake ya mwanzo kabisa ilikua na negativity na alikusudia kutunanga wa-TZ alichofanya ni kucheza na akili zetu.
Binafsi nawaunga mkono wa-TZ wenzangu wanaojitoa kwenye utumwa wa kiakili wa kutotaka kuburuzwa na hawa wa-Nigeria,kama mtu anafuatilia vizuri trend ya hii saga atagundua uyu Davido ana chuki za waziwazi mfano recently post ya IG
View attachment 209375
Kama uta-read btn the line utagundua kua toka mwanzo alikusudia nini hata comments za Nigeria ziko na mtazamo hasi waziwazi.
Naona wengi wanalalama kuhusu matusi,siungi mkono matusi ila nashangaa wa-Tz wanavyolaumu upande mmoja kua Davido katukaniwa mama ake mnasahau kuna wa-Nigeria wanatutukania mama zetu bila uwoga utadhani mama zetu wote wapo hai na wengine hata uko IG hatujawahi ku-comment,tumeitwa baboons,gays,maskini,hatujasoma,we from the jungle alafu unataka watu wakae kimya kuna ambao hawawezi kuvumilia dharau acha watusaidie kutujibia katika lugha ambayo wao wanaitumia(matusi).

pokea like zangu like every day mpaka utakapoamua kujitoa jf
 
All in all,mie siungi mkono matusi lakini nawashangaa watanzania kwa unafiki wenu!Wageni na watu wa mataifa wengine mnawaona bora kuliko nyie!!Davido hakufanya poa,mi sio shabiki wa dai ila dai ni mtz mwenzangu!Hell no we didn't cheat!so to speak alivo retweet dai ni sawa tu!!Matusi ya wanaija mmeyaona!wanavoponda mmeona?tukemee matusi sio kupindisha tweet ya davido!!Ha we can do better pia!!Go! Go! Tz...hata bila Davido Nassib angefanya poa!!Sipendi urafiki wao uishe ila rafiki yako akikuzingua kisa ni rafiki utakaa kimya kama kondoo?no unampa makavu na urafiki unasonga na adabu ndo inakuwepo sasa!

kwa hii comment nimegundua huwa tunatofautiana kauli linapokuja swala la kiba na mondi tuu. nimeipenda comment yako mbaya kabisaaaaa, sijiskii kucomment sana kwenye huu uzi coz najikuta nina maneno mengi kuliko uwezo wangu wa kuandika, but seriously am damn mad na wale wanaomtetea davido.
 
Ebu ona mwenzake wizkid anavyo show love anaga malingo na chuki za kiboya boya kama yy mtu mfupi davido

Poor davido Lol in your voice

Mkuu Davido ni snitch sana na nawashangaa wanaomtetea. Huyo jamaa alikua rafiki wa karibu sana na Wizkid ila alivyoona dogo anakubalika zaidi Naija akamsnitch na mpaka kesho hawapatani.. Davido ana wivu sana, hataki mwingine apate, anataka yeye tu mara zote
 
Mbona povu hivo?? Mpumbavu ni nani sasa??

Hehh hilo povu liko wapi? Waliotukana wote ni wapumbavu na wasuomuelewa na kukurupuka kumjudge davido wote ni wapumbavu. so kuutambua upumbavu huo davido ndo maana hakutoa maana ya post yake. Akawaacha watukane weeeee huku akijib,u tu "asante ubarikiwe" Umenielewa sasa?
 
wewe umemwelewaje labda???
 
Unapoongea na watu inabidi ujue ni watu wa aina gani! Sifa ya mtu mzima ni kujiongeza, and this is readers response, mtu anaposoma kitu fulani tunategemea akiilewe vyovyote anavyoweza, Kwanini unakazana kusema diamond kakosea kwanini usianze kumkosoa kwanza davido? Unahisi ni kwanini tusiamini hizi ni chuki za wazi kwa Diamond? ??? Mtu mwenye busara angeanza kumkosoa Davido kwanza ndipo aje kwa Diamond! I am safe to say that Mrembo by Nature hampendi ndomo na hii inathibitishwa na comment zako.

Hahaha kwangu Mimi diamond ndo Hana busara. Amejihisi tu na kujibu. Ana namba ya davidoo kwanini asingempigia akauliza kiutu uzima aujue ukweli wamalize kimyakimya km ni kweli alikosewa?? Kuhusu kumpenda au kuyompenda diamond nadhani unalo jibu kwamba hana impact yoyote kwangu so kusema ninamchukia umekosea Sana.
 
Last edited by a moderator:
Achana nae huyo tumemdharau sana kwa kumtetea huyo boko haram wa kinaijeria huyo davido mwenyewe wanaigeria wanamchukia sana kwa madharau yake

Hahahaha laki si pesa umenidharau wewe na nani ?semea nafsi yako ndugu. Wapo watu wanakubali maoni yangu. Hili ni jamvi lina mengi na lina wengi hivyo hatuwezi kuwa na uono/uonaji/mtizamo mmoja. Tukubali kutofautiana
 
Last edited by a moderator:
bado niko neutral kwenye hili sakata la davido...but tangu nianze ku mfollow instagram jana nimeanza kumuelewa davido ni mtu wa namna gani...

1.ana utoto flani hivi wa kijinga
2.ana penda malumbano/ligi
3.ana maneno flani hivi ya kidada(sorry ladies sina nia mbaya)
4.ana dharau/ana majivuno
5.Ni limbukeni.

Angalia hizi post zake uta kubaliana na maneno yangu
 
Attachments

  • 1418151329752.jpg
    1418151329752.jpg
    50.6 KB · Views: 146
  • 1418151347494.jpg
    1418151347494.jpg
    59.5 KB · Views: 140
  • 1418151361922.jpg
    1418151361922.jpg
    72.4 KB · Views: 136
Yeah! Iliwasumbua sana hiyo kitu, coz ilifichuliwa na team yake, kwa kiasi fulani ilimwacha na lawama Akon. Hahahaa half-caste...!!!
Ova
wizkid ni mswahili afadhali hata davido.
wizkid.jpg
 
Tunasema diamond alikurupuka kujibu...kwan na yy alimtaja mtu. Hata yy tenzi yake ni Tata pia. Kwahiyo kwa yeyote anaemlaumu nasibu ajilaumu yy mwenyewe kwa uelewa wake. Wote waliandika kisanii.
 
Tunasema diamond alikurupuka kujibu...kwan na yy alimtaja mtu. Hata yy tenzi yake ni Tata pia. Kwahiyo kwa yeyote anaemlaumu nasibu ajilaumu yy mwenyewe kwa uelewa wake. Wote waliandika kisanii.

Achana nao Watz wanashobo Sana Davido ,Davido n nani yy ?

Kwenye ile tweet kuna lijamaa aliiretweet hivi "They didn't gv it to Our Tayo but They gv it to Idr hu don't deserve it " then Davido akajibu " I observe it "
Tatzo linakuja Watz wanaomtetea Davido awajaiona Post ya Twitter ila wameona Screen capture ya iyo Post , kama wangeona Mambo yaliyomo ndani ya post wasingeshangaa Davido alukua anawasapot Ndgu zake .

Ukienda Insta ndio unakuta wanaija wanatuc 👉Amna Elimu ,
Nchi yenu local gvmnt
Wajinga ,mashoga
Sasa watu kama ao ucwatukane unasubili nn ?
Kawida Adui akikupiga ngumi moja ww piga Mbili na Zaidi
Yule aliyemtukana Tuc zito Davido namtfuta nimpe zawadi
She nailed it 🙈Lol in Davido's Voice 🚶🚶🚶
 
Back
Top Bottom