Davina: Nateseka kuzuiwa kumuona mwanangu

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
STAA wa filamu Bongo, Halima Yahaya ‘Davina' amefunguka kuwa yuko katika mateso makali baada ya kuzuiwa kumuona mwanaye kwa takriban miezi mitatu na mzazi mwenzake.

Akizungumza na mwandishi wetu, Davina alisema kabla hajaingia kwenye ndoa yake ya sasa, alizaa mtoto mmoja na mwanaume ambaye ni dairekta mkubwa wa filamu nchini lakini mwanaume huyo alimchukua mtoto tangu akiwa na miaka miwili hadi sasa ana miaka mitano kila akiomba kumuona mwanaye, hapewi ushirikiano.

"Hakuna kitu kinachouma kama mtu kunikataza kuiona damu yangu, nimebeba mimba kwa miezi tisa halafu mwanangu hataki nimuone, nashindwa kumuelewa sijui ni kosa gani kubwa nimefanya hadi nistahili adhabu hii," alisema Davin
 
Attachments

  • 1414425930295.jpg
    1414425930295.jpg
    42.4 KB · Views: 1,593
Nadhani jamaa kinamuuma baada ya dem kuolewa na kijeba mwengine... Ila Hapo lazima Kuna utata kwanza mama kama ulimpenda mwanao kwanini umuache aende au achukuliwe na baba yake na umri mdogo kiasi hicho na sheria inasema mtoto chini ya umri wa miaka 7 akaelewa na mama unless otherwise... Huyo davina ana matatizo... Huwezi muacha mtoto akiwa na miaka 2... Umri huo ni mdogo sana ... Na hata ustawi wa jamii .. mahakama watakushangaa sana...
 
Kama alikua anampenda mwanae kwa nini asimlee mwenyewe???aliutaka uhuru sasa analalamika nini...
 
Alikwenda kureport ili jambo ustawi wa jamii? Mtoto ana miaka mingapi?
 
Kama alikua anampenda mwanae kwa nini asimlee mwenyewe???aliutaka uhuru sasa analalamika nini...

yaani hana akili ht ya kuvaa chupi
mtoto kabisa nimnye mimi?
afu eti achukuliwe na mwanaume hivi akiilliiii au matope?
nilikua namuona wa maana kumbe han lolote fedhuli tu
ngoja nikamanfolow instagram
 
Nadhani jamaa kinamuuma baada ya dem kuolewa na kijeba mwengine... Ila Hapo lazima Kuna utata kwanza mama kama ulimpenda mwanao kwanini umuache aende au achukuliwe na baba yake na umri mdogo kiasi hicho na sheria inasema mtoto chini ya umri wa miaka 7 akaelewa na mama unless otherwise... Huyo davina ana matatizo... Huwezi muacha mtoto akiwa na miaka 2... Umri huo ni mdogo sana ... Na hata ustawi wa jamii .. mahakama watakushangaa sana...

umeona eeh
ye si aliendekeza madangaa...!!
kweli bongo movie zero kabisa!
 
STAA wa filamu Bongo, Halima Yahaya ‘Davina’
amefunguka kuwa yuko katika mateso makali
baada ya kuzuiwa kumuona mwanaye kwa
takriban miezi mitatu na mzazi mwenzake.
Akizungumza na mwandishi wetu, Davina
alisema kabla hajaingia kwenye ndoa yake ya
sasa, alizaa mtoto mmoja na mwanaume
ambaye ni dairekta mkubwa wa filamu nchini
lakini mwanaume huyo alimchukua mtoto tangu
akiwa na miaka miwili hadi sasa ana miaka
mitano kila akiomba kumuona mwanaye, hapewi
ushirikiano.
“Hakuna kitu kinachouma kama mtu kunikataza
kuiona damu yangu, nimebeba mimba kwa miezi
tisa halafu mwanangu hataki nimuone,
nashindwa kumuelewa sijui ni kosa gani kubwa
nimefanya hadi nistahili adhabu hii,” alisema
Davin

Ofisi za ustawi wa jamii umesharipoti au umekalia kulialia tu?
 
yaani hana akili ht ya kuvaa chupi
mtoto kabisa nimnye mimi?
afu eti achukuliwe na mwanaume hivi akiilliiii au matope?
nilikua namuona wa maana kumbe han lolote fedhuli tu
ngoja nikamanfolow instagram

Nimeshangaa kwa kweli...alafu ananung'unika!!!
Mtoto anavyouma jamani achukuliwe hivihivi?huyo alitaka uhuru tu asijishaue...eti miaka mi3 hajamuona mtoto ana akili nzuri kweli?
 
Huyu nae kaolewa mara 3 .ss usipokonywe mtt ukahaba tu
 
Me ngoja niangalie upande wa pili wa mume wa Davina wa sasa hivi,,
Sijui anajisikiaje mke wake anpoandika ushuzi kama huu,maana hii si mara ya kwanza,way back nyuma ashawahi kuandika kuwa inamuuma sasa ambapo haongei na mzazi mwenzie waliyeachana,,this is too much to take aisee maana licha ya kuwa she moved on but kama anataka kugeuka nyuma vile
#my take..Wanaume tujiangalie sana kuoa mke aliyezalishwa akachika maana that relationship will never end in one way or another,utamsikia mume mwezio wa zamani kila siku,kama sikupitia kwa kigezo cha mtoto basi kuna story itakuja tu..hakuna kitu kinauma kwa mwanaume kusikia jina au story za lijama lililokuwa linamfirigisa mke wako..outomatically utaanza kujiuliza lisije lilikuwa linamgeuza samaki etc mwisho wake unaanza kuongea mwenyewe barabarani kama kichaaa..uspokuwa makini milembe itakuhusu
 
Ulichoandika ni ukweli mtupu kabisa anayebisha shauri yake.
 
Nadhani jamaa kinamuuma baada ya dem kuolewa na kijeba mwengine... Ila Hapo lazima Kuna utata kwanza mama kama ulimpenda mwanao kwanini umuache aende au achukuliwe na baba yake na umri mdogo kiasi hicho na sheria inasema mtoto chini ya umri wa miaka 7 akaelewa na mama unless otherwise... Huyo davina ana matatizo... Huwezi muacha mtoto akiwa na miaka 2... Umri huo ni mdogo sana ... Na hata ustawi wa jamii .. mahakama watakushangaa sana...

labda ilikuwa unless otherwise
 
Hana shida mwanae huyo, angekuwa na shida na mwanae angeenda ustawi wa jamii.
 
nimeshangaa kwa kweli...alafu ananung'unika!!!
Mtoto anavyouma jamani achukuliwe hivihivi?huyo alitaka uhuru tu asijishaue...eti miaka mi3 hajamuona mtoto ana akili nzuri kweli?

nimemshusha puu
km chupi ilokosa mpira
 
Huyu dame Malaya tu#huyo mtoto alizaa na jamaa mtoto wa Aziz Ally IGP wa enzi ya Nyerere,wifi yake alizaa na Banana Zorro walikua wanauzana kwa wasanii enzi zao mtu na wifi yake
 
Back
Top Bottom