Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hakua na mipango, wakaanza kubimbiana na le mutuz ,jamaa akawa anasema yy ni shemeji wa Mosha,Dada kaolewa na mchaga ,full vitukoKwa hiyo huyo mshikaji alivyotoka tu kwenye kipindi cha JAHAZI (CLOUDS) akawa CEO kwa muda mfupi na biashara akaua
Asiyejulikana huyo..!Eti yupo dodoma kikazi..kazi yake ni nini haswa??..hili zee sijui linafunza kichwani!!
Hana balls of steel, emotions zitamfanya afunge trade na -veNjoo nkufundshe kutrade upate hela za kubadilisha hako ka-Noah
Mkuu acha kusengenya hapa.Nakerwa mno na vijana kuwa na tabia za umbea umbea,
yaani mwanaume wa dar unamfungulia uzi mwanaume mwenzio wa kumsengenya,,
sijui tatizo ni hizi chips mayai wanakula ama nini,
shutuma humu ndani ni hopelless mno,
sijui ni chuki za kisiasa ama vipi,
lemutuz yuko right.
Kumuamini LEMUTUZ NI sawa na kumini kuwa ipo siku taifa starz Itachukua kombe la duniaKumuamini Le mutuz hahahha masikhara hayo
Le mutuz unajua wabongo ni wapumbavu sana; ndio maana Mkapa aliwaita wengine malofa; sasa kukaa marekani na aina ya gari kuna tatizo gani wewe kilaza?? Basi huku americano unaweza kuta billionnaire ila gari anayomiliki ni ya kawaida. Wabongo wajinga sana wanaona kumiliki gari ni kama kua peponi. Mungu ulieilaani hili li ngozi leusi lisamehe sana na haswa hawa wabongo huyo aliewaroga mrudishe awe akili hata kidogo. Mijitu inamshambulia mtu kumiliki gari as if lenyewe linamiliki Bugatti Veyron.. hovyoo kabisa wabongo akili kaa piriton.Na kuishi kote marekani Babu yangu unamiliki Noah ??'Hela ulipeleka wapi wee zee??.
[emoji1] [emoji1]
Pesa za kula unapata kwenye Dili za kudhoofisha upinzani upinzani, kuwahujumu chadema, Blackmail za wauza unga na wewe kuchukua unga kwenda kuuza South Africa na China, kwenye hizo biashara zako huna wafanyakazi una vibarua wawili watatu hata kodi hulipi kwa wakati.- Sasa mkuu kama unayoyasema ni kweli ninalipaje kodi za nyumba yangu na ofisi? Ninbawalipaje wafanyakazi wangu? Nimelipiaje hizi leseni? Ongea kama umeendaa shule hata kama ni Chuki kubali kwamba wewe huwezi kupoteza muda na mtu unayemzidi, ninakuzidi kimaisha ndio maana unanifuatilia au? hahahahahahaha
le Mutuz Superbrand
Le mutuz ni kubwa jinga jinga ndiyo maana linakuwa lipambe kwa vijana wadogo wadogo kuliko rika yake, Dili zake haramu za kushirikiana na watu wasiojulikana kumpiga Risasi Tundu Lisu na kuwahujumu chadema ndizo zimemfanya kuchukiwa na watanzania wengi.Le mutuz unajua wabongo ni wapumbavu sana; ndio maana Mkapa aliwaita wengine malofa; sasa kukaa marekani na aina ya gari kuna tatizo gani wewe kilaza?? Basi huku americano unaweza kuta billionnaire ila gari anayomiliki ni ya kawaida. Wabongo wajinga sana wanaona kumiliki gari ni kama kua peponi. Mungu ulieilaani hili li ngozi leusi lisamehe sana na haswa hawa wabongo huyo aliewaroga mrudishe awe akili hata kidogo. Mijitu inamshambulia mtu kumiliki gari as if lenyewe linamiliki Bugatti Veyron.. hovyoo kabisa wabongo akili kaa piriton.
Le mutuz ni shiiiiida, aliishi Gheto na House boy nyumbani kwao mpaka Mzee wake akamfukuza kwenda kupanga chumba huko mitaani.Hakua na mipango, wakaanza kubimbiana na le mutuz ,jamaa akawa anasema yy ni shemeji wa Mosha,Dada kaolewa na mchaga ,full vituko
Wewe ndiyo fala namba moja hakuna mtu mbea kama Le mutuz nchini Tanzania, bar, club na vijiwe vyote wanamjua ni mbea na much know sana, kama wewe ni mshabiki wake utakuwa ni mbea kilaza mkubwa kwako Rafiki wa mwizi huwa ni mwizi zaidi.Nakerwa mno na vijana kuwa na tabia za umbea umbea,
yaani mwanaume wa dar unamfungulia uzi mwanaume mwenzio wa kumsengenya,,
sijui tatizo ni hizi chips mayai wanakula ama nini,
shutuma humu ndani ni hopelless mno,
sijui ni chuki za kisiasa ama vipi,
lemutuz yuko right.
Huu Uandishi ni wa Le mutuz mwenyewe ina maana kaamua kumkandia Devis mosha kiaina nina imani Devis mosha akisoma huu mtiririko atajua jinsi Le mutuz anavyomsengenya sasa na kumkandia kila kona , Uandishi wa Le mutuz unajulikana hata akija kivingine.Mosha ni kilaza....hizi biashara za kutumia akili kama hvyo media company hawezi,ni mweupe sana..anaweza kazi zisizotumia akili kama usafirishaji,shell au Bureau De Change....
Kwanza to begin with ,Mosha aliibuka kibiashara kama accident tu kipindi cha JK,tena akipata tafu la Riz Moko....Accident ingine kubwa ni kupata mkataba wa kusafirisha mafuta ya Kobil nadhani East Africa and Central,hapo tu!
Ni pure accident!
Mosha anatumia kujuana na watawala kufanya biashara,sio kinyume chake.Utawala wa JK umesepa na yeye kasepa!
Ukitaka kujua Mosha ni accident,alipata hela ya ghafla akageuka limbukeni,ulimbukeni ni ishara kua hiyo biashara ni accident na wala sio mipango thabiti ya kitaalamu.Aliwehuka moja kwa moja....Sasa hela imekata karudi ground state!
Kwa kifupi ni kua,Mosha hana business acumen kama alivyokua anajipromoti,na failure ya Swahili Media ni clear kabisa jamaa ni overrated na hana uwezo.Majay wa EFM tuseme kampita mbali mno.
Mosha is a looser...mfanyabiashara wa kweli hawi mwanasiasa,sasa anawatumia kama dummies....eti anaenda kugombea ubunge Moshi,what a looser!....Unafungua media company inakufa,wakati ni a small thing you run it 100% perfect kwa kupiga simu!
Aliishia la 7,low IQ yake ultimately imejiidhihirisha!....
Kuna reason kwanini mtu ana IQ kubwa au msomi,there is a reason for that!
Jitu jingine bure kabisa ni Musukuma....
Musukuma akijigeuza afungue kampuni ya media au engineering,etc...ubovu wa akili yake utakua exposed!
Hoja ni le mutuz kuharibu biashara ya tv Radio lakini biashara za mafuta sidhani kama huendeshwa na wasio na Akili kwa sababu kuwa na pesa pia ni Akili hata wazungu wanapata pesa nyingi kwenye mafuta, ni vyema kumsurubu le mutuz pekee kuliko kuangalia biashara zingine ambazo Hazina uhusiano na le mutuz.Na wewe unajua mimi nimeajiri watu wangapi?
Kumbuka,Mosha kuajiri watu hakumuondolei sifa ya kua stupid!
Nipe possible failures za Swahili Media?Ni 100% on Mosha's idiocy!
Amekua exposed,hana akili ya ku-run abit technical enterprises!Its true!
Biashara za wasio na akili hua ni zile zile,malori,mabasi,sheli,Bureau De Change na real estate za kishamba...Hizo hizo,nothing else!
Chuki na Mosha kuna mtu ananilipa?
Huu Uandishi ni wa Le mutuz mwenyewe ina maana kaamua kumkandia Devis mosha kiaina nina imani Devis mosha akisoma huu mtiririko atajua jinsi Le mutuz anavyomsengenya sasa na kumkandia kila kona , Uandishi wa Le mutuz unajulikana hata akija kivingine.
Hoja ni le mutuz kuharibu biashara ya tv Radio lakini biashara za mafuta sidhani kama huendeshwa na wasio na Akili kwa sababu kuwa na pesa pia ni Akili hata wazungu wanapata pesa nyingi kwenye mafuta, ni vyema kumsurubu le mutuz pekee kuliko kuangalia biashara zingine ambazo Hazina uhusiano na le mutuz.
kwanza kitendo cha kuniita fala kinaonyesha wazi wewe utakuwa ni mtoto usie na mtoyto wa single maza,waarabu wanaita mwanaharamu,Wewe ndiyo fala namba moja hakuna mtu mbea kama Le mutuz nchini Tanzania, bar, club na vijiwe vyote wanamjua ni mbea na much know sana, kama wewe ni mshabiki wake utakuwa ni mbea kilaza mkubwa kwako Rafiki wa mwizi huwa ni mwizi zaidi.
kwanza kitendo cha kuniita fala kinaonyesha wazi wewe utakuwa ni mtoto usie na mtoyto wa single maza,waarabu wanaita mwanaharamu,Wewe ndiyo fala namba moja hakuna mtu mbea kama Le mutuz nchini Tanzania, bar, club na vijiwe vyote wanamjua ni mbea na much know sana, kama wewe ni mshabiki wake utakuwa ni mbea kilaza mkubwa kwako Rafiki wa mwizi huwa ni mwizi zaidi.
Nakerwa mno na vijana kuwa na tabia za umbea umbea,
yaani mwanaume wa dar unamfungulia uzi mwanaume mwenzio wa kumsengenya,,
sijui tatizo ni hizi chips mayai wanakula ama nini,
shutuma humu ndani ni hopelless mno,
sijui ni chuki za kisiasa ama vipi,
lemutuz yuko right.