Davis Mosha ajuta kumfahamu Le Mutuz, amuuzia Sallam TV na radio yake

Davis Mosha ajuta kumfahamu Le Mutuz, amuuzia Sallam TV na radio yake

Na
Re
Mu
Tu
Z

Na
Ye
U
Na
Mu
We
Ka
Ku
Ndi
Hi
Lo
Watu kama hawa wapogo tu,
huko duniani kuna kama huyu Georger Nader,mlebanon,
mishen town wa kimataifa,anaweza kuwakutanisha Trump akakutana na Nasralala,au crown prince Mohamed akutana na Al than,
ama Netanyau akakutana na khamenei,
yaani wao ni mishen town in an international scale,
yaani deal lolote wanafanya provided iwe inalipa,
wanafanya gunrunning,wanacheza deal kubwakubwa za wakubwa na wanapata cha juu
 
kumbe swahili africa tv ndio dizzim tv! ndo maana naona hata yule ceo wa swahili radio Emmanuel Likuda yupo radio nyingine ya Dodoma.
Hahaha huyu CEO alikua anajifanya shemeji wa Mosha,halafu yy na le mutuz wameua hy TV na Radio
 
Lemutuz lilimdanganya Davis Mosha kuwa lenyew ni litaalamu sana la mambo ya media.

Na yeye kichwa kichwa akaingia kuagizia vifaa vya radio na TV kumbe jamaa hamna kitu.

Matokeo yake TV na radio zake amemuuzia mwarabu wa WCB Sallam ambaye yupo partner na skywalker na kuziita Dizzm TV na Dizzim FM

Sasa hivi Mosha na Lemutuziiiih ni paka na chui kabsa yaaani hawaendani
Huyu Lemutuz kutokana alikuwa Baharia na kukaa nje kiani pia kuwa mtoto wa mzee wetu Malecela , pia ni mjuaji mjuaji sana kwahiyo watu wengi wanaingia KINGI , Pia ni Personal secretary wa Naibu RAIS.
 
Back
Top Bottom