Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Mkuu KikulachoNimefuatilia maandishi yake muda mrefu nimegundua kuwa huyu ndugu bado ana safari ndefu sana kielimu
Mkuuu Mosha tokea 1999 yuko vizuri sana, tuliokulia msaranga,moshi tunafahamu mama Anna ndo alimueka kwenye chat
Unawezekana ukawa ni mwenye elimu kubwa na unawezekana ukawa ni mtu upeo mkubwa....lakini ujivuni una kuweka kwenye nafasi mbaya sana kwenye elimu yakoMkuu Kikulacho
Wewe ni msomi kiasi gani kuwa na mandate ya kuwalazimisha wafuate definition yako ya usomi kwa level zako wewe?
Wewe una elimu yako,na mimi nina yangu,sikupangii wala usinipangie...
Cha msingi toa hoja zako,au attack zangu kwa vielelezo..ila vichambo vya sijui elimu ya nani ni bora zaidi ya mwingine ni mambo ya nyani hawaoni makundu yao....
Please!
Msingi wa andiko lako ni chuki dhidi ya ndugu Davis Mosha.......Hiyo ni observation yako,na una haki!
Ila kwangu sina chuki nae..na pia kua na chuki na mtu si ajabu,ndio tabia na reactions zetu wanadamu,sidhani kama nimevunja sheria!
Nina haki ya kumchukia kama ulivyo na haki wewe ya kumpenda..mi nadhani tujikite kwenye hoja zaidi tuache assumptions!
Unawezekana ukawa ni mwenye elimu kubwa na unawezekana ukawa ni mtu upeo mkubwa....lakini ujivuni una kuweka kwenye nafasi mbaya sana kwenye elimu yako
Msingi wa andiko lako ni chuki dhidi ya ndugu Davis Mosha.......
Ina maana wakikaa kikao waarabu wa mafuta na akiingia Mosha wanaziba pua kwa kuwa ananuka....!!!?
Huoni kuwa hapo umedhihirisha chuki dhidi ya Mosha....!
Ngoja nikupe tofauti iliyopo kati yako na Mosha ni hii hapa.Mkuu kikulacho:
Nina haki na nipo huru kumchukia kama wewe unavyompenda!
Na bandiko langu sija-mean eti ananuka literally,nilitoa metaphor kua ana hela ndogo sana za yeye walao hata ku-qualify kua oil bulk supplier to the country..Kwenye ile meza wapo big boyz only...na pia msichanganye,Mosha ni mbeba mafuta ya Kobil kwa malori yake,he does not know anything about oil business sembuse katika international scale ya kuleta bulk...
Ni mfanyabiashara mzuri wa kusafirisha mafuta kwa malori...yupo kwenye logistic business na wala sio mafuta!Thats the truth mkuu,tusidanganye!
Ngoja nikupe tofauti iliyopo kati yako na Mosha ni hii hapa.
Mosha leo akiamuwa weekend hii yeye na familia yake wakapumzike Dubai anaweza kufanya hivyo na anunuwe property London UK kwa ajili ya mapumziko anaweza kufanya hivyo, hafikirii atakula nini au atavaa nini wala kodi ya nyumba yeye anaangalia kodi za serikali tu.
Ile list ya mega-succesful (according to you) business people wasomi versus darasa la 7 niliyoomba jana bado unaifanyia kazi?Matola unafeli mno...
Wewe unadhani uhuru ni consumer based perception kama unavyotoa hapo?
Inaonesha unaendeshwa na consumerism tupu.Mtu hapimwi katumia nini wewe mtu,mtu anapimwa kaleta turnover au kabadili sector au maisha ya watu kwa kiwango gani na sio hayo unayofikiria.
Kununua nyumba London,kwenye physical address ipi wewe?Anaweza kununua apartment au lower end housing unit ambayo waTZ wengi tu tena wafanyakazi wa mashirika hapo sijasemea wafanyabiashara wanazo huko na mifano ninayo,hawezi nunua nyumba ya say 12mil GBP wewe,kafie huko!
Nyumba watu wa kawaida wengi TZ wananunua UK,US,etc...zinapoanza kuzidi 3mil USD ndio hata Mosha hakatizi.To begin with,Mosha ameshindwa kua na residence Masaki,hawezi na hana hela hiyo,hivyo by deduction units anazoweza nunua abroad ni lower end and very cheap na vichache...Case closed!
Kuhusu safari,mkuu hebu kua serious....wafanyakazi wa serikali wenye mishahara midogo wanaenda na familia zao kila mwaka,sembuse mfanyabiashara?Ndio kitu cha kuongelea hapa kua ni maendeleo mkuu?Tuweni serious.
Ukweli ni kua,Mosha ameshindwa kuendesha ile media company sababu ana akili ndogo,competition ni kali,inatakiwa ubunifu masaa 24 ili media company isimame,theory yangu inabaki palepale,yeye anaweza biashara zisizohitaji know-how kama biashara ya malori...
Kawa exposed,he has been smoked!
Kubalini tu,sio lazima ajue kila kitu,yeye ni kibaraka wa CCM sio mfanyabiashara....ni mwanasiasa uchwara who happen to do business to make a living...mfanyabiashara wa kweli humkuti kwenye siasa,ni 100% kwenye biashara aka Bakheresa,Mengi and others..Fake businessmen are Mo Dewji,Manji,Mosha na wengine unaowaona NEC ya CCM humo...
Hey,one another thing...hawa ni wachezaji sisi ni washabiki,ndio maana wewe unaweza kumlaumu Messi kwanini anacheza vibaya au Ronaldo au Salah,kwanini wewe binafsi siende kucheza kama unajua sana?Jibu ni kua sisi ni washabiki,wao ni wachezaji,tunaruhusiwa kuchambua the way we want about them ndio maana ni public people.Hivyo ninavyokaa hapa namchambua Mosha nipo sawa kabisa japo mimi sio mchezaji kama yeye!
Taja angalau Watanzania 2 au 3 "wa kawaida" wenye nyumba ya USD 3 million USA.Nyumba watu wa kawaida wengi TZ wananunua UK,US,etc...zinapoanza kuzidi 3mil USD ndio hata Mosha hakatizi.
Ile list ya mega-succesful (according to you) business people wasomi versus darasa la 7 niliyoomba jana bado unaifanyia kazi?
Taja angalau Watanzania 2 au 3 "wa kawaida" wenye nyumba ya USD 3 million USA.
Rostam Aziz kasomea nini Cambridge University? Lini?Wasomi VS Darasa la 7?...Aisee not even close!
Biashara za Darasa la 7 zote nchi nzima changanya zote halafu zidisha kwa factor ya 1,000,000 wote wanazuiwa na Ali Mufuruki as a one person!Ali Mufuruki is a mechanical engineer educated in Germany,and a best A-Level mathematics student in the country in the late 1970's!
Halafu Rostam Aziz ambae ni Cambridge educated ni half ya bajeti ya nchi hii put together.
Mengi mwenye CPA ni kama bajeti za wizara kubwa 7 za nchi hii.
These are people u know,everybody knows them because they are celebs.Sasa njoo kwa wasiojulikana ambao ni more than 60% ya GDP ya nchi hii.
Bado sector zinazoendesha nchi kama Telecoms,manufacturing,engineering consulting,law,construction,energy,banking,etc..kaangalie owners halafu ndio uje hapa.
Madarasa ya saba,well,ni malori,mabasi,na what else,migahawa na magesti halafu wanaita "Hoteli",what a joke!
Eti Musukuma....my ribs!
Snitching inakujaje tena? Watakutafuta Hollywood kwenye kasri lako? Au ukiwa on location?Mimi sio snitch mkuu,siwezi taja watu hapa...ni stupidity ya hali ya juu!
Try again!
Bakhressa chumba cha 3Wasomi VS Darasa la 7?...Aisee not even close!
Biashara za Darasa la 7 zote nchi nzima changanya zote halafu zidisha kwa factor ya 1,000,000 wote wanazuiwa na Ali Mufuruki as a one person!Ali Mufuruki is a mechanical engineer educated in Germany,and a best A-Level mathematics student in the country in the late 1970's!
Halafu Rostam Aziz ambae ni Cambridge educated ni half ya bajeti ya nchi hii put together.
Mengi mwenye CPA ni kama bajeti za wizara kubwa 7 za nchi hii.
These are people u know,everybody knows them because they are celebs.Sasa njoo kwa wasiojulikana ambao ni more than 60% ya GDP ya nchi hii.
Bado sector zinazoendesha nchi kama Telecoms,manufacturing,engineering consulting,law,construction,energy,banking,etc..kaangalie owners halafu ndio uje hapa.
Madarasa ya saba,well,ni malori,mabasi,na what else,migahawa na magesti halafu wanaita "Hoteli",what a joke!
Eti Musukuma....my ribs!
Rostam Aziz kasomea nini Cambridge University? Lini?
Daaah boss unaongea sana mpaka unasahau unachoongea huko nyuma..Wasomi VS Darasa la 7?...Aisee not even close!
Biashara za Darasa la 7 zote nchi nzima changanya zote halafu zidisha kwa factor ya 1,000,000 wote wanazuiwa na Ali Mufuruki as a one person!Ali Mufuruki is a mechanical engineer educated in Germany,and a best A-Level mathematics student in the country in the late 1970's!
Halafu Rostam Aziz ambae ni Cambridge educated ni half ya bajeti ya nchi hii put together.
Mengi mwenye CPA ni kama bajeti za wizara kubwa 7 za nchi hii.
These are people u know,everybody knows them because they are celebs.Sasa njoo kwa wasiojulikana ambao ni more than 60% ya GDP ya nchi hii.
Bado sector zinazoendesha nchi kama Telecoms,manufacturing,engineering consulting,law,construction,energy,banking,etc..kaangalie owners halafu ndio uje hapa.
Madarasa ya saba,well,ni malori,mabasi,na what else,migahawa na magesti halafu wanaita "Hoteli",what a joke!
Eti Musukuma....my ribs!
Sasa si ndiyo nimekuuliza wewe bro? ROTFLOL!Mkuu
Uliza utaambiwa?Alikua UK educated na ni either Cambridge au Oxford,and this is a fact mzee.....Wewe unadhani ni wa darasa la saba?
Hebu acheni utani!
Bakhressa chumba cha 3
Rostam hajasoma huko unakosema boss, acha uongo...Mkuu
Uliza utaambiwa?Alikua UK educated na ni either Cambridge au Oxford,and this is a fact mzee.....Wewe unadhani ni wa darasa la saba?
Hebu acheni utani!