Davis Mosha ajuta kumfahamu Le Mutuz, amuuzia Sallam TV na radio yake

Nimefuatilia maandishi yake muda mrefu nimegundua kuwa huyu ndugu bado ana safari ndefu sana kielimu
Mkuu Kikulacho

Wewe ni msomi kiasi gani kuwa na mandate ya kuwalazimisha wafuate definition yako ya usomi kwa level zako wewe?

Wewe una elimu yako,na mimi nina yangu,sikupangii wala usinipangie...

Cha msingi toa hoja zako,au attack zangu kwa vielelezo..ila vichambo vya sijui elimu ya nani ni bora zaidi ya mwingine ni mambo ya nyani hawaoni makundu yao....

Please!
 
Mkuuu Mosha tokea 1999 yuko vizuri sana, tuliokulia msaranga,moshi tunafahamu mama Anna ndo alimueka kwenye chat

Mkuu

Vizuri kwa turnover ipi?

Au magari yenye majina yake?

Mosha alikua mfanyakazi wa sheli mpaka early 2000's...katoka juzi tu na mkataba wa Kobil....

Zaidi ya mkataba wa Kobil mkuu nipe kingine!
 
Mkuu Kikulacho

Wewe ni msomi kiasi gani kuwa na mandate ya kuwalazimisha wafuate definition yako ya usomi kwa level zako wewe?

Wewe una elimu yako,na mimi nina yangu,sikupangii wala usinipangie...

Cha msingi toa hoja zako,au attack zangu kwa vielelezo..ila vichambo vya sijui elimu ya nani ni bora zaidi ya mwingine ni mambo ya nyani hawaoni makundu yao....

Please!
Unawezekana ukawa ni mwenye elimu kubwa na unawezekana ukawa ni mtu upeo mkubwa....lakini ujivuni una kuweka kwenye nafasi mbaya sana kwenye elimu yako
 
Hiyo ni observation yako,na una haki!

Ila kwangu sina chuki nae..na pia kua na chuki na mtu si ajabu,ndio tabia na reactions zetu wanadamu,sidhani kama nimevunja sheria!

Nina haki ya kumchukia kama ulivyo na haki wewe ya kumpenda..mi nadhani tujikite kwenye hoja zaidi tuache assumptions!
Msingi wa andiko lako ni chuki dhidi ya ndugu Davis Mosha.......

Ina maana wakikaa kikao waarabu wa mafuta na akiingia Mosha wanaziba pua kwa kuwa ananuka....!!!?

Huoni kuwa hapo umedhihirisha chuki dhidi ya Mosha....!
 
Unawezekana ukawa ni mwenye elimu kubwa na unawezekana ukawa ni mtu upeo mkubwa....lakini ujivuni una kuweka kwenye nafasi mbaya sana kwenye elimu yako

Ujivuni upi mkuu?

Nianze kusifia vitu ambavyo havipo?

Mkuu katika kila hoja kuna nyie mnao-support na kuna sisi ambao ni contrarians!

Ujivuni ni hoja subjective sana..wewe unaweza ona ujivuni,ila mwingine kwa miwani yake akaona sio ujivuni...na wote mpo sawa kwa miwani zenu...

Upo sawa pia!
 
Msingi wa andiko lako ni chuki dhidi ya ndugu Davis Mosha.......

Ina maana wakikaa kikao waarabu wa mafuta na akiingia Mosha wanaziba pua kwa kuwa ananuka....!!!?

Huoni kuwa hapo umedhihirisha chuki dhidi ya Mosha....!

Mkuu kikulacho:

Nina haki na nipo huru kumchukia kama wewe unavyompenda!

Na bandiko langu sija-mean eti ananuka literally,nilitoa metaphor kua ana hela ndogo sana za yeye walao hata ku-qualify kua oil bulk supplier to the country..Kwenye ile meza wapo big boyz only...na pia msichanganye,Mosha ni mbeba mafuta ya Kobil kwa malori yake,he does not know anything about oil business sembuse katika international scale ya kuleta bulk...

Ni mfanyabiashara mzuri wa kusafirisha mafuta kwa malori...yupo kwenye logistic business na wala sio mafuta!Thats the truth mkuu,tusidanganye!
 
Ngoja nikupe tofauti iliyopo kati yako na Mosha ni hii hapa.

Mosha leo akiamuwa weekend hii yeye na familia yake wakapumzike Dubai anaweza kufanya hivyo na anunuwe property London UK kwa ajili ya mapumziko anaweza kufanya hivyo, hafikirii atakula nini au atavaa nini wala kodi ya nyumba yeye anaangalia kodi za serikali tu.

Akitaka kusomesha watoto wake popote pale hapa duniani ana uwezo wa kufanya hivyo.

Ni kichaa peke yake anayeweza kumbeza mtu wa viwango hivyo na kujiaminisha ni mwenzanko, huu nao ni upunguwani pia.

Akili zako na za mzee Akilimali hakuna tofauti.
 
Ngoja nikupe tofauti iliyopo kati yako na Mosha ni hii hapa.

Mosha leo akiamuwa weekend hii yeye na familia yake wakapumzike Dubai anaweza kufanya hivyo na anunuwe property London UK kwa ajili ya mapumziko anaweza kufanya hivyo, hafikirii atakula nini au atavaa nini wala kodi ya nyumba yeye anaangalia kodi za serikali tu.

Matola unafeli mno...

Wewe unadhani uhuru ni consumer based perception kama unavyotoa hapo?

Inaonesha unaendeshwa na consumerism tupu.Mtu hapimwi katumia nini wewe mtu,mtu anapimwa kaleta turnover au kabadili sector au maisha ya watu kwa kiwango gani na sio hayo unayofikiria.

Kununua nyumba London,kwenye physical address ipi wewe?Anaweza kununua apartment au lower end housing unit ambayo waTZ wengi tu tena wafanyakazi wa mashirika hapo sijasemea wafanyabiashara wanazo huko na mifano ninayo,hawezi nunua nyumba ya say 12mil GBP wewe,kafie huko!

Nyumba watu wa kawaida wengi TZ wananunua UK,US,etc...zinapoanza kuzidi 3mil USD ndio hata Mosha hakatizi.To begin with,Mosha ameshindwa kua na residence Masaki,hawezi na hana hela hiyo,hivyo by deduction units anazoweza nunua abroad ni lower end and very cheap na vichache...Case closed!

Kuhusu safari,mkuu hebu kua serious....wafanyakazi wa serikali wenye mishahara midogo wanaenda na familia zao kila mwaka,sembuse mfanyabiashara?Ndio kitu cha kuongelea hapa kua ni maendeleo mkuu?Tuweni serious.

Ukweli ni kua,Mosha ameshindwa kuendesha ile media company sababu ana akili ndogo,competition ni kali,inatakiwa ubunifu masaa 24 ili media company isimame,theory yangu inabaki palepale,yeye anaweza biashara zisizohitaji know-how kama biashara ya malori...

Kawa exposed,he has been smoked!

Kubalini tu,sio lazima ajue kila kitu,yeye ni kibaraka wa CCM sio mfanyabiashara....ni mwanasiasa uchwara who happen to do business to make a living...mfanyabiashara wa kweli humkuti kwenye siasa,ni 100% kwenye biashara aka Bakheresa,Mengi and others..Fake businessmen are Mo Dewji,Manji,Mosha na wengine unaowaona NEC ya CCM humo...

Hey,one another thing...hawa ni wachezaji sisi ni washabiki,ndio maana wewe unaweza kumlaumu Messi kwanini anacheza vibaya au Ronaldo au Salah,kwanini wewe binafsi siende kucheza kama unajua sana?Jibu ni kua sisi ni washabiki,wao ni wachezaji,tunaruhusiwa kuchambua the way we want about them ndio maana ni public people.Hivyo ninavyokaa hapa namchambua Mosha nipo sawa kabisa japo mimi sio mchezaji kama yeye!
 
Ile list ya mega-succesful (according to you) business people wasomi versus darasa la 7 niliyoomba jana bado unaifanyia kazi?
 
Wasomi VS Darasa la 7?...Aisee not even close!

Biashara za Darasa la 7 zote nchi nzima changanya zote halafu zidisha kwa factor ya 1,000,000 wote wanazuiwa na Ali Mufuruki as a one person!Ali Mufuruki is a mechanical engineer educated in Germany,and a best A-Level mathematics student in the country in the late 1970's!

Halafu Rostam Aziz ambae ni Cambridge educated ni half ya bajeti ya nchi hii put together.

Mengi mwenye CPA ni kama bajeti za wizara kubwa 7 za nchi hii.

These are people u know,everybody knows them because they are celebs.Sasa njoo kwa wasiojulikana ambao ni more than 60% ya GDP ya nchi hii.

Bado sector zinazoendesha nchi kama Telecoms,manufacturing,engineering consulting,law,construction,energy,banking,etc..kaangalie owners halafu ndio uje hapa.

Madarasa ya saba,well,ni malori,mabasi,na what else,migahawa na magesti halafu wanaita "Hoteli",what a joke!

Eti Musukuma....my ribs!
 
Rostam Aziz kasomea nini Cambridge University? Lini?
 
Bakhressa chumba cha 3
 
Daaah boss unaongea sana mpaka unasahau unachoongea huko nyuma..

Aliyekudanganya Rostam kasoma huko Cambridge ni nani? Na umesema mfanyabiashara wa kweli hawezi kuwa mwanasiasa, mbona Rostam amekuwa mwanasiasa tangia akiwa kijana wa miaka 20 na akiwa na miaka 26 akawa Mbunge Igunga mpaka alivyojiudhuru..

Unautenganishaje utajiri wa Rostam na siasa?? Mbona Dewji kwako umemclassify ni uchwara wakati amesoma sana tu tena ni IST Alumni..
 
Bakhressa chumba cha 3

Bakhressa,watu wanaongea tu,no one knows alisoma hadi wapi,watu wanabuni tu....

Plus,Bakheresa ni muanzilishi wa kampuni,wanae wenye 45years + old ndio wanaendesha makampuni,na wamesoma IST,then US educated,all of them!Nani alieshika usukani kimbinu na uendeshaji is open,anybody can say anything!

Likewise Mo Dewji,he is an IST,then Georgetown educated,ndio kafanya expansion ya Mohamed Enterprises, yake alikua muanzilishi....Nani alieshika usukani kimbinu na uendeshaji is open,anybody can say anything!

Mkuu,watu ambao hawajaenda shule,kuna kitu kimoja tu hua hawakiwezi,expansion!Tena beyond borders,nobody dares to go next!
 
Mkuu

Uliza utaambiwa?Alikua UK educated na ni either Cambridge au Oxford,and this is a fact mzee.....Wewe unadhani ni wa darasa la saba?

Hebu acheni utani!
Rostam hajasoma huko unakosema boss, acha uongo...

Bakhresa nae kasoma wapi? Mafuruki is just overratted, tajiri gani anaenda kusaidia bati na kujenga nyumba za walimu nusu nusu kwenye shule aliyosoma kwao Bukoba..
 
Back
Top Bottom