Aiseeee "" Jamaa una AKILIDaaah boss unaongea sana mpaka unasahau unachoongea huko nyuma..
Aliyekudanganya Rostam kasoma huko Cambridge ni nani? Na umesema mfanyabiashara wa kweli hawezi kuwa mwanasiasa, mbona Rostam amekuwa mwanasiasa tangia akiwa kijana wa miaka 20 na akiwa na miaka 26 akawa Mbunge Igunga mpaka alivyojiudhuru..
Unautenganishaje utajiri wa Rostam na siasa?? Mbona Dewji kwako umemclassify ni uchwara wakati amesoma sana tu tena ni IST Alumni..
Hahaha chuki tu imemkaba....hakuna jengine- Ndio maana naipenda JF kuna watu ni vichwa sana, kwa kuongezea tu Mosha anamiliki Kobil East Africa kuacha biashara zake zote zingine anamiliki jengo lenye Apartment 50 pale Sinza Mori, jamaa ana magari 2 tu ambayo ni USD 1M halafu eti ni failure hahahaa huyu jamaa ana utani wa ajabu sana!
le Mutuz Superbrand
Hahaha "" kwani Jamaa hana akili kihivyo basiii Jamaa anazo bwana kichwani ..."" ila kinacho wakera watu ni jinsi anavyoishKam humjui vizuri le mutuz utasema ni genious hata kina albert einsten wanasingiziwa u genious
Mara ya kwanza kumuona le mutuz nilimuona kwenye mboni show alitapiga ma fact tupu huku anasugua pua
Hahahhaa sianataka sifa tu "" ili tuone kuwa ana movement za kufa mtu na watu maarufuHili jamaa lijinga sana.kichwan hakuna kitu.sasa nan amekuuliza ulikua wapi?ulikua na nani?Acha matambo
Huyu Mosha naye yukoje , Unamuaminije mtu kama Le Mutuz ?Inadaiwa kuwa Le Mutuz alimdanganya Davis Mosha kuwa yeye ni mtaalamu sana wa mambo ya media. Na yeye kichwa kichwa akaingia kuagizia vifaa vya radio na TV kumbe jamaa hamna kitu.
Matokeo yake TV na radio zake amemuuzia mwarabu wa WCB (Sallam) ambaye yupo partner na Fred Bundala (Sky-walker) na kuziita Dizzim TV na Dizzim FM
Za chini ya kapeti zinadai sasa hivi Mosha na Le Mutuz iiiih ni paka na chui kabsa yaani hawaendani!
Le mutuz hajaongelea kitu lile sakata la Devis mosha na UhamiajiHuyu Mosha naye yukoje , Unamuaminije mtu kama Le Mutuz ?
Mwanzoni ilikuwa inaitwaje hyo tv
Kumbuka ni bahariaHahaha "" kwani Jamaa hana akili kihivyo basiii Jamaa anazo bwana kichwani ..."" ila kinacho wakera watu ni jinsi anavyoish
Bilionea kajifungia bush mtera asije kudanja na koona,awaache mabebez wakareHuyu bilionea kapotelea wapi!
Duh!Bilionea kajifungia bush mtera asije kudanja na koona,awaache mabebez wakare
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaaa daaah [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kweli maisha yanaenda kasi sana mchaga ana tapeliwa na mgogo
NomaInadaiwa kuwa Le Mutuz alimdanganya Davis Mosha kuwa yeye ni mtaalamu sana wa mambo ya media. Na yeye kichwa kichwa akaingia kuagizia vifaa vya radio na TV kumbe jamaa hamna kitu.
Matokeo yake TV na radio zake amemuuzia mwarabu wa WCB (Sallam) ambaye yupo partner na Fred Bundala (Sky-walker) na kuziita Dizzim TV na Dizzim FM
Za chini ya kapeti zinadai sasa hivi Mosha na Le Mutuz iiiih ni paka na chui kabsa yaani hawaendani!
Unafikiri ukwepaji kodi na upigaji ma deal umeisha?