Davis Mosha ajuta kumfahamu Le Mutuz, amuuzia Sallam TV na radio yake

Lemutuz angekuwa ni Partner African Swahili TV/Radio dunia nzima ingejua kila siku kwenye straight talk zake angetambia Hilo...kama anavyo jitamba na ile nyumba haijaisha na Online TV yake yenye kamera moja na laptop
 
Mbona alitamba sana humu na 0.1% yake Africa Swahili TV?
 
Lemutuz angekuwa ni Partner African Swahili TV/Radio dunia nzima ingejua kila siku kwenye straight talk zake angetambia Hilo...kama anavyo jitamba na ile nyumba haijaisha na Online TV yake yenye kamera moja na laptop
Le mutuz ni Bonge la Limbukeni fulani hivi anapenda sifa za kishamba shamba sana, ni jitu linapenda kupiga picha picha kila kona hata na vicheche lina miaka 56 lakini usiku halali ni kuzunguka zunguka kwenye night club na bar kama kijana wa miaka 18, hana mke wala mtoto ni Aibu kubwa.
 
Iyo miaka 56 tokea 2013 mpaka sasa aiongezeki au?
Litakuwa lizee kikongwe sana lakini kwa kuwa halina stress zozote kwani linapata pesa nyingi toka kwa Maliyamungu Bashite bila kutumia jasho ndiyo maana hazeeki mapema.
 
Lemutuz angekuwa ni Partner African Swahili TV/Radio dunia nzima ingejua kila siku kwenye straight talk zake angetambia Hilo...kama anavyo jitamba na ile nyumba haijaisha na Online TV yake yenye kamera moja na laptop
Hahaha
 
Ana watoto ila waliona kuwa na uyo baba ni kujiaibisha tu wakaamua wamkimbie. Mke alikua nae lakini alivopata akili timamu akaona hakuna mwanaume apo zaidi ya kibamia na yeye akasepa
 
Haha haha...Huko IG post zake nyingi hazinaga wachangiaji, huwa linatafuta sababu za maksudi na kupost ili watu watoe mapovu. Kwake linafurahi kwelikweli kuona post yake imepata wachangiaji zaidi ya 250.. Wajanja tunalitazama tunasema hiiiiiiiiiiii.....
Na linavyopenda mipasho akija hata mtakimbia wote[emoji16]
 
Lingeacha mambo ya kitoto toto na umama umama lingekuwa mbali sana kwasasa.. Yaani yeye maisha anayatazama vais verse kwamba umri unarudi nyuma badala ya kwenda mbele.. Saivi hata wajukuu zake akina Millard Ayo wako mbali kisocial media lkn hawafanyi utoto anao fanya.. (Agemate yake sasa ni akina Harmorapa, Harmonise, Shetta, Nandy, Alslay n.k)
 
Hahaha eti lemutuz ni agemate wa aslay.
 
Ungeitamka kwa mdomo madhan km ningelikuwa ndani ningetoka hiyo"hiiiiiiiiiiiiiiiiii"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…