Davis Mosha ajuta kumfahamu Le Mutuz, amuuzia Sallam TV na radio yake

Davis Mosha ajuta kumfahamu Le Mutuz, amuuzia Sallam TV na radio yake

Le Mutuz ni mtu mwenye roho nzuri sana aliwahi kunipa lift kwenye Noah yake basi kaji safari kalikuwa murua sana
Full mijistori, full you know, nilivyokuona una roho nzuri bila longo longo lazima uje kujibu hizi pumba za wasiokupenda
Angalia sasa na wewe ulivyo lofa...
Yaani ulipewa lift na huyo lord lofa unakuja kuhadithia huku??
Utakuwa unatabia za kike ama wewe ni shoga...
 
Le mutuz alikua partner wa african swahili tv,wachagga wakamuingia mosha kwa fitna kutaka kuwagombanisha,Lemutuz kuona hivyo akajiondoa mzima mzima na kusamehe kila kitu akahamishia nguvu kwenye le mutuz online tv
Mosha ni mfanyabiashara,si dhambi kuuza kitega uchumi chake kama kuna mtu amempa bei nzuri
Hisa za Le mutuz ilikuwa ni 0.40 ni hisa ya kizushi ni hisa feki ni kama hakuwa na kitu, mosha alimpachika pale kizushi akidhani ni jitu lenye mtandao kumbe akaja kugundua ni fafa ndipo akaanza kuligeuka, kwa kifupi nadhani moshi kauza TV kumkwepa Le mutuz maana alijua wakiachana vibaya lazima Le mutuz ataenda kumshitaki kwenye Group lao la wasiojulikana kisha wamwashie moto mkubwa.
 
Kuna ukwepaji kodi mkubwa hapo, wameamua kuibadilisha jina ili kukwepa kodi TRA nendeni mkafanye ukaguzi kama kabla ya kuuzwa kulikuwa na madeni ya nyuma,
Celten=Airtel
HSC=GSM
Shule gani ilikufundisha kwamba jina la Kampuni likibadilika madeni yanafutika?
 
kikundi cha wasiojulikana cha akina Lipumba mutuz, Cyprian Msiba, Heri Kisanduku makapero na wengineo wana zile zile Tabia za marehemu Colonel Maliyamungu wa uganda.
Wasiojulikana na umewataja majina?
 
Kwa m
Davis mosha.. Hapa umenifumbua macho.. Nilikuwa na mawazo Sana juu ya jina hili.. Sio geni... Thanks mkuu wakat nikiwa moshi nilipata kumuona mtu huyu akifanya kampeni but sikuwahi fikiria Kama alikuwa mmiliki wa ASTV... ila wachaga hatuibiwi kirahisi hv jaman... Mosha sijui alichanganyikiwa nn kudanganywa na le mibebez
Kwa mikoani amuibiwi, lakini kwa apa Dar es salaam wanaibiwa kila siku, kwa kupenda vitu vya thamani kubwa kwa pesa ndogo.
 
Hii picha ya kanzu kila ninapopata mfadhaiko wa akili na nafsi huwa narudi kuangalia,inanipa faraja sana.sasa kwanini Lembabazz alienda kupiga picha halafu chini akaweka taa?
Lemutuz his sense of style inaniaacha hoi kabisa,yaani jamaa kapiga kanzu safi hlf chini kapiga adisage matata kabisa,
 
Back
Top Bottom