Kontena za Maliyamungu Bashite nyingi ni za watu lakini wamechomekea humo humo hizo ni Dili za Le mutuz anakula vingi kwa mgongo wa Maliyamungu Bashite.Le mtumboz in action!! Isije ikawa na yale makontena ya DAB ye pia ndo alitoa ushauri!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kontena za Maliyamungu Bashite nyingi ni za watu lakini wamechomekea humo humo hizo ni Dili za Le mutuz anakula vingi kwa mgongo wa Maliyamungu Bashite.Le mtumboz in action!! Isije ikawa na yale makontena ya DAB ye pia ndo alitoa ushauri!!
Ilikuwa mbovu sana hiyo station, now imebadilika naonakumbe swahili africa tv ndio dizzim tv! ndo maana naona hata yule ceo wa swahili radio Emmanuel Likuda yupo radio nyingine ya Dodoma.
Hata aje na nini hakuna Mtanzania atamwaminiLe tamko kuhusu le super ulegizView attachment 786860View attachment 786861
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] eti mali ya munguLe mutuz ni shiiiiida ingawa kwa makonda Maliyamungu Bashite amedumu sana kutokana na kuwa na Siri za zile Blackmail za List ya wauza Unga ambapo walikuwa wakikamata Unga kimya kimya kisha Le mutuz kwenda kuuza China na South Africa , pia dili za kuwanunua wabunge, madiwani wa chadema kudhoofisha upinzani na kurejesha mfumo wa chama kimoja, hata Njama za kumuua Tundu lisu kuke Dodoma kwa kifupi Le mutuz ana siri nyingi za Uovu, Uonevu waliofanya na Maliyamungu idd Amin Bashite, hata Devis Moshi ameogopa kumchukulia Hatua kwa sababu ya Maliyamungu Bashite kwani anajua akiwachokoza watamwandama na kuifirisi mpaka ajutie zaidi na zaidi ni hatari kujuana na Le mutuz pia ni hatari kugombana nae kisha aende kukushitaki kwa Maliyamungu idd Amin Bashite.
Nadhani unakumbuka enzi ya utawala wa idd Amin Dada wa uganda alikuwa na msaidizi wake katili aliitwa Colonel Maliyamungu, kwa sasa utawala wa Awamu ya Tano wanatumia katiba ya marehemu idd Amin Dada, kwa sasa Tanzania yupo Maliyamungu bashite ni Naibu Rais ni Boss wa kikundi cha wasiojulikana cha akina Lipumba mutuz, Cyprian Msiba, Heri Kisanduku makapero na wengineo wana zile zile Tabia za marehemu Colonel Maliyamungu wa uganda.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] eti mali ya mungu
Huyu jamaa naona kama anashuka hivi, si alikuwa clouds huyu?kumbe swahili africa tv ndio dizzim tv! ndo maana naona hata yule ceo wa swahili radio Emmanuel Likuda yupo radio nyingine ya Dodoma.
Yaah, huyo huyo.. Swahili alikua CEOHuyu jamaa naona kama anashuka hivi, si alikuwa clouds huyu?
Yes, alikuwa clouds anatangaza kipindi cha jahazi. Ila alipoenda Africa Swahili ilikuwa ni kama amepanda ngazi.Huyu jamaa naona kama anashuka hivi, si alikuwa clouds huyu?
Alijipa u CEO jamaa ,now nasikia yuko Dodoma katafutiwa kazi na mkeweHuyu jamaa naona kama anashuka hivi, si alikuwa clouds huyu?
Yes, alikuwa clouds anatangaza kipindi cha jahazi. Ila alipoenda Africa Swahili ilikuwa ni kama amepanda ngazi.
Jamaa alipewa mkwanja aunde timu, akawa anaenda Moro kula raha,mipango hana,yuko Dodoma nadhaniYaah, huyo huyo.. Swahili alikua CEO
Le mutuz alikua partner wa african swahili tv,wachagga wakamuingia mosha kwa fitna kutaka kuwagombanisha,Lemutuz kuona hivyo akajiondoa mzima mzima na kusamehe kila kitu akahamishia nguvu kwenye le mutuz online tvLemutuz lilimdanganya Davis Mosha kuwa lenyew ni litaalamu sana la mambo ya media.
Amefanikiwa kua mjumbe wa jumuiya ya wazazi ccmSky hata Mimi hizi habari zimenishtua,lkn Mosha angekuwa mjanja kidogo maana hamna kitu Lemutuz amewahi kufanikiwa hata kipindi fulani aliwahi kujaribu kufunga ndoa nako akafeli
Mkuu, Lemutuz ni mtu wa mapicha picha, hakuwa na share yoyote pale Africa Swahili. Yeye ni kama chawa tu.Le mutuz alikua partner wa african swahili tv,wachagga wakamuingia mosha kwa fitna kutaka kuwagombanisha,Lemutuz kuona hivyo akajiondoa mzima mzima na kusamehe kila kitu akahamishia nguvu kwenye le mutuz online tv
Mosha ni mfanyabiashara,si dhambi kuuza kitega uchumi chake kama kuna mtu amempa bei nzuri
Partner? Kwa hela ipi?[emoji13]Le mutuz alikua partner wa african swahili tv,wachagga wakamuingia mosha kwa fitna kutaka kuwagombanisha,Lemutuz kuona hivyo akajiondoa mzima mzima na kusamehe kila kitu akahamishia nguvu kwenye le mutuz online tv
Mosha ni mfanyabiashara,si dhambi kuuza kitega uchumi chake kama kuna mtu amempa bei nzuri
Du... yaani lift ya dk 5 tu umekufanya uwe muumini wa kubwa jinga kwa kiasi hicho? Je? Ungesafiri nae siku nzima ingekuwaje? Si ungeolewa nae kabsa ? Ni mtu mjinga mjinga pekee anaweza kukaa na Le mutuz akamuona ni mtu wa maana, lakini mtu mwenye weledi na hekima akikaa na le mutuz dakika moja pekee anajua kuwa Le mutuz ni shiiiiida na ni kilaza wa kutupwa.Le Mutuz ni mtu mwenye roho nzuri sana aliwahi kunipa lift kwenye Noah yake basi kaji safari kalikuwa murua sana
Full mijistori, full you know, nilivyokuona una roho nzuri bila longo longo lazima uje kujibu hizi pumba za wasiokupenda