Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahhha hhha kweli mkuuA hahahaha... Umesahau ubunge Africa mashariki
Ahhha hhha yaani nashindwa kumuelewa super bilionea MoshaLe Mutuz alikuwa kampaini meneja wa Davis Moshi akiwa anagombea ubunge wa Moshi mjini. Matokeo wote mnayajua.
Le Mutuz kwa mdomo wake alisema mambo ya social media alijifunza kwa kujisome vitabu vya library sasa ni ashindwa kuelewa reasoning ya Davis Mosha.
Zama gani ?
Fikiria mwenyewe maana Lembabaz ana 67 sasa hiviMimi nimwite nani le mutuzi maana nna miaka 20.
Duuh mimi nazaliwa yeye ana miaka 47.Fikiria mwenyewe maana Lembabaz ana 67 sasa hivi
Kwan hujui kuna watu wanaitwa wazee vijana??????Duuh mimi nazaliwa yeye ana miaka 47.
Afu nilimuona yupo kwenye party ya after school bash.
Lemutuz lilimdanganya Davis Mosha kuwa lenyew ni litaalamu sana la mambo ya media.
Na yeye kichwa kichwa akaingia kuagizia vifaa vya radio na TV kumbe jamaa hamna kitu.
Matokeo yake TV na radio zake amemuuzia mwarabu wa WCB Sallam ambaye yupo partner na skywalker na kuziita Dizzm TV na Dizzim FM
Sasa hivi Mosha na Lemutuziiiih ni paka na chui kabsa yaaani hawaendani
Kama ametapeliwa si aende mahakamani? Ukiona yupo kimya ujue ameridhia
kwa ni lemutuz ndo nani ?? embu nifaamisheni mm ninaetokea huko najilinji
Kura bata kura bata you knowHa ha ha rangi ya mtume yoy know!![emoji1] [emoji1]
Kisheria ukiwa unataka ubadili jina au umuuzie mtu kitu, jambo la kwanza ni kulipa madeni ya serikali, ya pili kulipa madeni ya watu mliokopa, ya tatu kama hela zitabaki basi wale members ndo wanagawana kwaio kama jina limebadilishwa kihalali lazima pesa ya serikali ililipwa kabla ya kubadili jina, ila sababu wewe ni layman hauwezi jua hicho kituKuna ukwepaji kodi mkubwa hapo, wameamua kuibadilisha jina ili kukwepa kodi TRA nendeni mkafanye ukaguzi kama kabla ya kuuzwa kulikuwa na madeni ya nyuma,
Celten=Airtel
HSC=GSM
Ni kweli Devis atakuwa anajuuta kwani hilo jitu Le mutuz kubwa jinga kichwani hamna kitu ni kilaza balaa ndiyo maana hata humu jukwaani linaogopa kuingia kwa jina lake maana linafahamu watanzania hawataki kulisikia.Lemutuz lilimdanganya Davis Mosha kuwa lenyew ni litaalamu sana la mambo ya media.
Na yeye kichwa kichwa akaingia kuagizia vifaa vya radio na TV kumbe jamaa hamna kitu.
Matokeo yake TV na radio zake amemuuzia mwarabu wa WCB Sallam ambaye yupo partner na skywalker na kuziita Dizzm TV na Dizzim FM
Sasa hivi Mosha na Lemutuziiiih ni paka na chui kabsa yaaani hawaendani
Le mutuz ni shiiiiida ingawa kwa makonda Maliyamungu Bashite amedumu sana kutokana na kuwa na Siri za zile Blackmail za List ya wauza Unga ambapo walikuwa wakikamata Unga kimya kimya kisha Le mutuz kwenda kuuza China na South Africa , pia dili za kuwanunua wabunge, madiwani wa chadema kudhoofisha upinzani na kurejesha mfumo wa chama kimoja, hata Njama za kumuua Tundu lisu kuke Dodoma kwa kifupi Le mutuz ana siri nyingi za Uovu, Uonevu waliofanya na Maliyamungu idd Amin Bashite, hata Devis Moshi ameogopa kumchukulia Hatua kwa sababu ya Maliyamungu Bashite kwani anajua akiwachokoza watamwandama na kuifirisi mpaka ajutie zaidi na zaidi ni hatari kujuana na Le mutuz pia ni hatari kugombana nae kisha aende kukushitaki kwa Maliyamungu idd Amin Bashite.Mkuu nimecheka sana
Blackmail na kuwahujumu chadema na upinzani kwa ujumla ndiyo Dili zake kwa sasa.
Le mutuz alishakula pesa zake zote hana mbwembwe tenaMbona siku hizi Davis Mosha hafanyi zile ' mbwembwe ' zake kama ambavyo alikuwa akizifanya wakati wa awamu / uongozi wa ' Mkwere ' JK?