Naona kuna walakini sehemu. Inakuwaje mtu unashindwa kuendesha biashara yako kisa eti mtu mmoja? Huyo mwekezaji hakujipanga kabisaaa tuache kulaumu alipoangukia hebu alijikwaa wapi? Mtu anaweza akakushauri lakini sijui kama unaweza ukawekeza pesa kisha ukashindwa kuendesha kisa aliyekushauri hawezi. Labda kama hiyo ni biashara mbovu hata afanyeje asingweza au kama alimkabidhi kila kitu na jamaa katembee navyo. Lakini kama alimkabidhi aendeshe akashindwa why hajatafuta watu wengine? Wataalamu wapo kibao. Tatizo nao utajiri ukizidia huondoa maarifa
Mosha ni kilaza....hizi biashara za kutumia akili kama hvyo media company hawezi,ni mweupe sana..anaweza kazi zisizotumia akili kama usafirishaji,shell au Bureau De Change....
Kwanza to begin with ,Mosha aliibuka kibiashara kama accident tu kipindi cha JK,tena akipata tafu la Riz Moko....Accident ingine kubwa ni kupata mkataba wa kusafirisha mafuta ya Kobil nadhani East Africa and Central,hapo tu!
Ni pure accident!
Mosha anatumia kujuana na watawala kufanya biashara,sio kinyume chake.Utawala wa JK umesepa na yeye kasepa!
Ukitaka kujua Mosha ni accident,alipata hela ya ghafla akageuka limbukeni,ulimbukeni ni ishara kua hiyo biashara ni accident na wala sio mipango thabiti ya kitaalamu.Aliwehuka moja kwa moja....Sasa hela imekata karudi ground state!
Kwa kifupi ni kua,Mosha hana business acumen kama alivyokua anajipromoti,na failure ya Swahili Media ni clear kabisa jamaa ni overrated na hana uwezo.Majay wa EFM tuseme kampita mbali mno.
Mosha is a looser...mfanyabiashara wa kweli hawi mwanasiasa,sasa anawatumia kama dummies....eti anaenda kugombea ubunge Moshi,what a looser!....Unafungua media company inakufa,wakati ni a small thing you run it 100% perfect kwa kupiga simu!
Aliishia la 7,low IQ yake ultimately imejiidhihirisha!....
Kuna reason kwanini mtu ana IQ kubwa au msomi,there is a reason for that!
Jitu jingine bure kabisa ni Musukuma....
Musukuma akijigeuza afungue kampuni ya media au engineering,etc...ubovu wa akili yake utakua exposed!