Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,088
- 6,384
Mmemchokoza wenyewe na sasa kafika....kifuatacho ni nye nye nye hadi uzi ufike page milioni 9
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binafsi huwa ninakuheshimu sana lkn ukianza kujibu hoja dhaifu kama hizi zinazorushwa kwako mmmh unanipa kusita kuendelea kukupa heshima.![]()
- Sihitaji kuaminiwa na mburulazzz kama wewe, cause ninaminiwa na watu wenye heshima zao katika Taifa hili kama huyu sio wajinga kama wewe hahahahahaha!
le Mutuz Superbrand
Mkuu biashara za wenye akili ni zipi hapa kwetu Tanzania??Mkuu usibishe,katika nchi zetu.
Watu wote ambao hawajaenda shule hua wanapenda kuuza mafuta ya uchuuzi kwenye sheli,malori,bureau de change,hoteli,real estate za kishamba,etc..Hiyo ndio trend yao!
Kuhusu Lemutuz kumuharibia biashara,kuna mtu alitoa hoja nzuri hapo juu,kua,Mtu mmoja kama Lemutuz hawezi vuruga kampuni kiasi hicho kwa mfanyabiashara "shupavu" (supposedly) kama Mosha eti ashindwe kuiendesha?Ni uongo!...Nilichosikia,Lemutuz alipewa share 0.0001% which is so small hata kwenye board meetings hawezi kuwepo.
Tukubaliane,Mosha hili limemshinda maana ni technical enterprise,yeye amezoea biashara zisizotumia akili kama malori ambayo infact ndio yupo huko!
Mosha has been exposed kua ni very mediocre businessman for real!
Yaani Swahili Media of which u can run by phone from home,imemshinda?
Halafu eti lawama anatupiwa kilaza kama Lemutuz eti amesababisha biashara ikafa,is Lemutuz this powerful?No wayyyyy!
Hongera sana Le Mutuz, wewe ni mfano wa kuigwa. Najifunza na nitaendelea kujifunza kutoka kwako
Huyo jamaa binafsi nimeshindwa kumwelewa...Navyojua, Mosha ni entrepreneur (google that), na wafanyabiashara wa aina hii wanachukua risks za aidha ku win au ku lose wanapoamua ku invest in some business idea. Whats wrong with that? Ulitaka awe mfanyabiashara wa aina gani, caliber gani, na usomi gani? Be reasonable. Siyo unakandia tu na kuja na hoja za dharau na kujiona mjuaji.
- Hata siku moja huwezi kufikia utajiri wa Delina, wewe tukana matusi kwa majina ya bandia huku JF huna uwezo wa Delina nyamaza kaka aibu!
le Mutuz Superbrand
Mkuu tafuta tofauti ya Enterpreneur na d Businessman....hii ulisoma UDSM kozi inaitwa "Enterpreneurship 101" na weight units zake ni 2.0!Navyojua, Mosha ni entrepreneur (google that), na wafanyabiashara wa aina hii wanachukua risks za aidha ku win au ku lose wanapoamua ku invest in some business idea. Whats wrong with that? Ulitaka awe mfanyabiashara wa aina gani, caliber gani, na usomi gani? Be reasonable. Siyo unakandia tu na kuja na hoja za dharau na kujiona mjuaji.
Mkuu biashara za wenye akili ni zipi hapa kwetu Tanzania??
Nakuelewa kiasi ila uhai wa ile TV na Radio ulianza kufa kwa yule CEO wake ,jamaa alivimba kichwa na ttz ni Mosha mwenyewe,jamaa alikua anajiona shemeji wa Mosha, akawa hataki ushauri kisa Dada kaolewa na Mosha ,wakawa wanavimbiana na Leo mutuzMkuu tafuta tofauti ya Enterpreneur na d Businessman....hii ulisoma UDSM kozi inaitwa "Enterpreneurship 101" na weight units zake ni 2.0!
Mkuu,Mosha ni mfanyabiashara tu,hana element ya innovation....Biashara anazofanya ni zilezile za matajiri ambao hawakwenda shule!
Jamani msibishe,awe proud na lane aliyopo,ndio yake kwa IQ yake....Swahili Media imemtoa jasho!He has been exposed!
Binafsi huwa ninakuheshimu sana lkn ukianza kujibu hoja dhaifu kama hizi zinazorushwa kwako mmmh unanipa kusita kuendelea kukupa heshima.
Unaonaje upuuzie hoja dhaifu za kukua attack?
Unaonaje ujibu hoja zenye mashiko?
Mengine potezea mkuu
Hongera sana Le Mutuz, wewe ni mfano wa kuigwa. Najifunza na nitaendelea kujifunza kutoka kwako
hii ni moja ya IDs za huyo jamaa anajifagilia mwenyewe..
hizo rangi za logo yako sizipendi...huwezi change by any chance...zikawa rafiki kwa macho...![]()
- Hii ndio ofisi yangu ipo posta Tancot House Sokoine Drive, unayemuongelea sio mimi kama unabisha njoo nikupe ajira anytime, hahahahahahhaa ila wewe huwezi kunipa mimi ajira hahahahahaha!
le Mutuz
Unabashiri tu mkuu kama mganga yeyote yule!
Mosha is overrated na amekua exposed!
Hana akili kama mnavyompamba,na imejidhihirisha!
hizo rangi za logo yako sizipendi...huwezi change by any chance...zikawa rafiki kwa macho...
Biashara yeyote inayotaka technical know-how
Kama ya media,engineering,technology,innovation,manufacturing,consulting,law,education,medical,banking na kwa mbali construction...
Mosha hakatizi,atatia aibu...ndio maana katia aibu kwenye Swahili Media!
Karusha mguu mtu chali kauza!....Wakati Tido ana-run huo upuuzi kwa simu akiwa anakunywa kahawa nyumbani!...
Kwa haraka haraka tu,naona Mosha hana knack of identifying professional talent na kuwasimamia,hawezi...ni mpuuzi mno to do that!
Yeye asimamie madereva wake,aweke tracking kwenye magari na matanki ya magari wasimuibie mafuta ya wateja wakati anayapeleka DRC....
Ni simple,alichukua hela benki,kanunua magari baada ya kupata mkataba wa Kobil...ndio anakimbizana na magari,na yana insurance,yakianguka anarudishiwa mengine....
Hapo ni asali Kobil wasimnyang'anye mkataba maana atakua mchimba chumvi mzoefu.
Ana nini kingine?Bureau De Change?Sheli?Magari yameandikwa majina yake?Nigga puliiiiz....Who cares?
Akili kubwa born townHongera sana Le Mutuz, wewe ni mfano wa kuigwa. Najifunza na nitaendelea kujifunza kutoka kwako
Nakuelewa kiasi ila uhai wa ile TV na Radio ulianza kufa kwa yule CEO wake ,jamaa alivimba kichwa na ttz ni Mosha mwenyewe,jamaa alikua anajiona shemeji wa Mosha, akawa hataki ushauri kisa Dada kaolewa na Mosha ,wakawa wanavimbiana na Leo mutuz
CEO hakua na mipango ,CEO akajiona sehemu ya familia kisa shemeji
Mwisho wakapishana kiswahili, wakafukuzana ,wakaishia kupelekana mahakamani
Jamaa akaajiri mdada mwingine naye akafeli
Mwisho wa siku akashindwa kulipa hata mishahara