Davis Mosha ajuta kumfahamu Le Mutuz, amuuzia Sallam TV na radio yake

Davis Mosha ajuta kumfahamu Le Mutuz, amuuzia Sallam TV na radio yake

33074597_943473542501711_8967525684050132992_n.jpg

- Sihitaji kuaminiwa na mburulazzz kama wewe, cause ninaminiwa na watu wenye heshima zao katika Taifa hili kama huyu sio wajinga kama wewe hahahahahaha!

le Mutuz Superbrand
Binafsi huwa ninakuheshimu sana lkn ukianza kujibu hoja dhaifu kama hizi zinazorushwa kwako mmmh unanipa kusita kuendelea kukupa heshima.
Unaonaje upuuzie hoja dhaifu za kukua attack?
Unaonaje ujibu hoja zenye mashiko?
Mengine potezea mkuu
 
Hongera sana Le Mutuz, wewe ni mfano wa kuigwa. Najifunza na nitaendelea kujifunza kutoka kwako
 
Mkuu usibishe,katika nchi zetu.

Watu wote ambao hawajaenda shule hua wanapenda kuuza mafuta ya uchuuzi kwenye sheli,malori,bureau de change,hoteli,real estate za kishamba,etc..Hiyo ndio trend yao!

Kuhusu Lemutuz kumuharibia biashara,kuna mtu alitoa hoja nzuri hapo juu,kua,Mtu mmoja kama Lemutuz hawezi vuruga kampuni kiasi hicho kwa mfanyabiashara "shupavu" (supposedly) kama Mosha eti ashindwe kuiendesha?Ni uongo!...Nilichosikia,Lemutuz alipewa share 0.0001% which is so small hata kwenye board meetings hawezi kuwepo.

Tukubaliane,Mosha hili limemshinda maana ni technical enterprise,yeye amezoea biashara zisizotumia akili kama malori ambayo infact ndio yupo huko!

Mosha has been exposed kua ni very mediocre businessman for real!

Yaani Swahili Media of which u can run by phone from home,imemshinda?

Halafu eti lawama anatupiwa kilaza kama Lemutuz eti amesababisha biashara ikafa,is Lemutuz this powerful?No wayyyyy!
Mkuu biashara za wenye akili ni zipi hapa kwetu Tanzania??
 
Navyojua, Mosha ni entrepreneur (google that), na wafanyabiashara wa aina hii wanachukua risks za aidha ku win au ku lose wanapoamua ku invest in some business idea. Whats wrong with that? Ulitaka awe mfanyabiashara wa aina gani, caliber gani, na usomi gani? Be reasonable. Siyo unakandia tu na kuja na hoja za dharau na kujiona mjuaji.
Huyo jamaa binafsi nimeshindwa kumwelewa...

Ndio maana nikamuuliza biashara za wasomi hapa kwetu ni zipi? Na wasomi hao wamefanya nini kikubwa kwenye kuchangia pato la taifa kwa biashara zao ziadi ya hao anaowakandia..
 
- Hata siku moja huwezi kufikia utajiri wa Delina, wewe tukana matusi kwa majina ya bandia huku JF huna uwezo wa Delina nyamaza kaka aibu!

le Mutuz Superbrand

Unabashiri tu mkuu kama mganga yeyote yule!

Mosha is overrated na amekua exposed!

Hana akili kama mnavyompamba,na imejidhihirisha!
 
Navyojua, Mosha ni entrepreneur (google that), na wafanyabiashara wa aina hii wanachukua risks za aidha ku win au ku lose wanapoamua ku invest in some business idea. Whats wrong with that? Ulitaka awe mfanyabiashara wa aina gani, caliber gani, na usomi gani? Be reasonable. Siyo unakandia tu na kuja na hoja za dharau na kujiona mjuaji.
Mkuu tafuta tofauti ya Enterpreneur na d Businessman....hii ulisoma UDSM kozi inaitwa "Enterpreneurship 101" na weight units zake ni 2.0!

Mkuu,Mosha ni mfanyabiashara tu,hana element ya innovation....Biashara anazofanya ni zilezile za matajiri ambao hawakwenda shule!

Jamani msibishe,awe proud na lane aliyopo,ndio yake kwa IQ yake....Swahili Media imemtoa jasho!He has been exposed!
 
Mkuu biashara za wenye akili ni zipi hapa kwetu Tanzania??

Biashara yeyote inayotaka technical know-how

Kama ya media,engineering,technology,innovation,manufacturing,consulting,law,education,medical,banking na kwa mbali construction...

Mosha hakatizi,atatia aibu...ndio maana katia aibu kwenye Swahili Media!

Karusha mguu mtu chali kauza!....Wakati Tido ana-run huo upuuzi kwa simu akiwa anakunywa kahawa nyumbani!...

Kwa haraka haraka tu,naona Mosha hana knack of identifying professional talent na kuwasimamia,hawezi...ni mpuuzi mno to do that!

Yeye asimamie madereva wake,aweke tracking kwenye magari na matanki ya magari wasimuibie mafuta ya wateja wakati anayapeleka DRC....

Ni simple,alichukua hela benki,kanunua magari baada ya kupata mkataba wa Kobil...ndio anakimbizana na magari,na yana insurance,yakianguka anarudishiwa mengine....

Hapo ni asali Kobil wasimnyang'anye mkataba maana atakua mchimba chumvi mzoefu.

Ana nini kingine?Bureau De Change?Sheli?Magari yameandikwa majina yake?Nigga puliiiiz....Who cares?
 
Huyu davis mosha muache ile kwake,ametumika sana pale Yanga kuhakikisha manji afanikishi kitu chochote,malipo hapa hapa
 
Mkuu tafuta tofauti ya Enterpreneur na d Businessman....hii ulisoma UDSM kozi inaitwa "Enterpreneurship 101" na weight units zake ni 2.0!

Mkuu,Mosha ni mfanyabiashara tu,hana element ya innovation....Biashara anazofanya ni zilezile za matajiri ambao hawakwenda shule!

Jamani msibishe,awe proud na lane aliyopo,ndio yake kwa IQ yake....Swahili Media imemtoa jasho!He has been exposed!
Nakuelewa kiasi ila uhai wa ile TV na Radio ulianza kufa kwa yule CEO wake ,jamaa alivimba kichwa na ttz ni Mosha mwenyewe,jamaa alikua anajiona shemeji wa Mosha, akawa hataki ushauri kisa Dada kaolewa na Mosha ,wakawa wanavimbiana na Leo mutuz

CEO hakua na mipango ,CEO akajiona sehemu ya familia kisa shemeji

Mwisho wakapishana kiswahili, wakafukuzana ,wakaishia kupelekana mahakamani

Jamaa akaajiri mdada mwingine naye akafeli
Mwisho wa siku akashindwa kulipa hata mishahara
 
Binafsi huwa ninakuheshimu sana lkn ukianza kujibu hoja dhaifu kama hizi zinazorushwa kwako mmmh unanipa kusita kuendelea kukupa heshima.
Unaonaje upuuzie hoja dhaifu za kukua attack?
Unaonaje ujibu hoja zenye mashiko?
Mengine potezea mkuu

- Sijawahi kutaufuta heshima za watu wanaotumia majina ya bandia, ila huwa nawatumia kuimarisha my brand name,

le Mutuz Superbrand
 
Hongera sana Le Mutuz, wewe ni mfano wa kuigwa. Najifunza na nitaendelea kujifunza kutoka kwako

- Thank U, hasa jinsi ninavyoweza kutumia ujinga wa watu wengi humu kujinufaisha U know. Wanapoanzisha htread kama hizi huwa wanadhani wananichafua kume wananiongeza nguvu yaani Miaka karibu 10 leo likitajwa jina langu humu JF thread zingine zote zina simama, ndio maana ya Brand katika Social MEdia hahahaha!

le Mutuz Superbrand
 
31898359_932275333621532_8653555637612969984_n.jpg

- Hii ndio ofisi yangu ipo posta Tancot House Sokoine Drive, unayemuongelea sio mimi kama unabisha njoo nikupe ajira anytime, hahahahahahhaa ila wewe huwezi kunipa mimi ajira hahahahahaha!

le Mutuz
hizo rangi za logo yako sizipendi...huwezi change by any chance...zikawa rafiki kwa macho...
 
Unabashiri tu mkuu kama mganga yeyote yule!

Mosha is overrated na amekua exposed!

Hana akili kama mnavyompamba,na imejidhihirisha!

- Ningekuwa naufahamua utajiri wako ningekukubali, but Davis ni my loong time patner in business muombe Mungu wako akusamehe tu maana hujui ulisemalo!

le Mutuz Superbrand
 
Biashara yeyote inayotaka technical know-how

Kama ya media,engineering,technology,innovation,manufacturing,consulting,law,education,medical,banking na kwa mbali construction...

Mosha hakatizi,atatia aibu...ndio maana katia aibu kwenye Swahili Media!

Karusha mguu mtu chali kauza!....Wakati Tido ana-run huo upuuzi kwa simu akiwa anakunywa kahawa nyumbani!...

Kwa haraka haraka tu,naona Mosha hana knack of identifying professional talent na kuwasimamia,hawezi...ni mpuuzi mno to do that!

Yeye asimamie madereva wake,aweke tracking kwenye magari na matanki ya magari wasimuibie mafuta ya wateja wakati anayapeleka DRC....

Ni simple,alichukua hela benki,kanunua magari baada ya kupata mkataba wa Kobil...ndio anakimbizana na magari,na yana insurance,yakianguka anarudishiwa mengine....

Hapo ni asali Kobil wasimnyang'anye mkataba maana atakua mchimba chumvi mzoefu.

Ana nini kingine?Bureau De Change?Sheli?Magari yameandikwa majina yake?Nigga puliiiiz....Who cares?

- Wewe utakuwa una bifu la binafsi, I know Mosha sio huyu unayemsema hapa na hakuna alipofeli kwa sababu bado anamiliki AST unataka kusema NHC wamefeli kwa kukodishwa nyumba zao? pole sana huna utajiri wa Davis na hutakuja kuufikia never utaishia kutukana kwa majina ya bandia tu humu JF, pole sana.

le Mutuz Superbrand
 
Nakuelewa kiasi ila uhai wa ile TV na Radio ulianza kufa kwa yule CEO wake ,jamaa alivimba kichwa na ttz ni Mosha mwenyewe,jamaa alikua anajiona shemeji wa Mosha, akawa hataki ushauri kisa Dada kaolewa na Mosha ,wakawa wanavimbiana na Leo mutuz

CEO hakua na mipango ,CEO akajiona sehemu ya familia kisa shemeji

Mwisho wakapishana kiswahili, wakafukuzana ,wakaishia kupelekana mahakamani

Jamaa akaajiri mdada mwingine naye akafeli
Mwisho wa siku akashindwa kulipa hata mishahara

- Sio ukweli kabisa, TV na Radio zilikuwa zinafanya kazi vizuri sana lakini siku moja Mosha akaamua kwenda njia nyingine akanifahamisha mapema na kunisaidia kufungua Online TV na Radio zangu akaikodisha ile, sijui kufeli kwake ni kupi ila ninajua kwamba ndio kwanza amenunua Hotel Mbugani na uwanja wa Golf kule Dolly Arusha inakaa wazungu wanaocheza golf tu!

le Mutuz Superbrand
 
Back
Top Bottom