Davis Mosha ajuta kumfahamu Le Mutuz, amuuzia Sallam TV na radio yake

Davis Mosha ajuta kumfahamu Le Mutuz, amuuzia Sallam TV na radio yake

Mkuu hili ni swali tulilifanya chuo kikuu udsm kwenye somo la Entrepreneur 101,yule mwalimu nilimsahau jina...Nimemaliza miaka 10 iliyopia.

Another thing,kuna Google,plz google na utaona tofauti zilizoko...Hii ni Chapter kabisa mkuu...sio tunaongea tu hapa unadhani ni vi-common sense tu ndio tunatumia...plz kapitie utapata full definition...

Thanks man!
Dah! So this is all you got by way of response? I thought you knew what you're talking about, since you were speaking with so much confidence and authority. Its like expecting an Ipad on Christmas eve and ending up getting a cheap pair of crappy white socks instead. Not at all convinced, and absolutely disappointed to say the least
 
Mkuu pole inaelekea wewe upo humo humo ofisini mwao? au ndiyo walikupora hiyo rava4? Sasa Sinema imekaa vizuri na tayari Le mutuz amejua chanzo cha Uzi huu ni Udikteta wao dhidi ya wafanyakazi na watumishi wao kwa ujumla, ni wakati Le mutuz uwalipe wafanyakazi madai yao pengine wanakudai mishahara yao, walepe pesa zao kabla ya kwenda kula bata school bash na visichana vya shule. ama kweli Le mutuz ni shiiiiida, kwenye Siasa ni shiiiiida na mitaani ni shiiiiida.
Hapana Mkuu, nilifika pale km mtaalamu tu na si kuifanya hy kazi ,day one tu nikaona hawafiki mbali
 
Mkuu,tuna-improve step by step..wazawa wanapanda..please angalia takwimu za CRB kwa 30 years period utanielewa vizuri tu!

Mkuu,hizo sectors zote tulikua chini na kila mwaka tunapanda tunapoendelea kufanya curation of the local talent na sera...technology sio lazima uvumbue kitu au uwe na patent,vitu kama maxmalipo,m-pawa ambayo ilianza mpesa wakaiba,apps mbalimbali,majiko sanifu,zana za kilimo ndogo ndogo,etc..ni hatua.

Hatuwezi shindana na EU,ila hatua zipo mkuu mwaka kwa mwaka!Na bank zinazomilikiwa na weusi ndio zinazofanya vizuri TZ,please kaangalie!

Mkuu,Mosha anaweza magari na malori,nothing wrong with that,IQ yake ndio inaweza vitu hivyo vya low mental work!Nothing to be ashamed of mzee.

Huwezi kumpa Mosha u-genius kwa kuajiri watu wengi,u-genius haupimwi kwa ajira.Ni wrong way ya kupima IQ ya mtu.Na pia mtu kuajiri watu haitoi sifa ya yeye kua mpumbavu kama wengine.

Makampuni ni ya aina tofauti,kuna ya low employment volume na high employment volume,waendesha makampuni hawa wawili hawapimwi IQ kwa idadi ya employees,labda complexities ya majukumu ya hao employees.

Mimi naona tusigombane sana,Mosha ka-prove failure,ni ukweli,na biashara anazozipenda ni za low-mental-work types,kauza Media house kaenda kufungua hoteli,you see the trend here?
Devis mosha inaelekea mpo close zaidi? au wewe ndiyo ulinyang’anyana rava4 , nimesoma Uandishi wako vizuri na kwa makini nimegundua una kitu moyoni dhidi ya Mosha ni wakati uweke wazi ili jukwaa la JF litoe hukumu ulipwe haki zako, au kama vipi uende kwa Le mutuz kudai chako au unawaogopa wasiojulikana akina Heri Kisanduku makapero? Mzee wa Nissan nyeupe?
 
- Mmeanzia mbali sana na bado mtatunga majungu na uongo mpaka mwisho lakini hamna lolote tunapiga kazi tunakula batazzz!

le Mutuz Superbrand
Brother nakushauri vijana wako wa blog wanapokwenda kwenye event kufanya coverage uwe unawapa pesa ya nauli na pesa ya lunch, hata kama event haina chakula hilo jina la Super brand haliwezi kupata aibu.

Sina haja ya kuandika mengi unalijuwa hili, tupunguze ubabaishaji kulinda status.
 
Le mutuz ni shiiiiida pengine fungu la kudidimiza Demokrasia hajapewa wiki hii, akilipwa ndipo huwalipa si unajua hiyo biashara ya kuzugia haimlipi vizuri ni vigumu ijiendeshe yenyewe.
 
Dah! So this is all you got by way of response? I thought you knew what you're talking about, since you were speaking with so much confidence and authority.

Mkuu,ninajua,ila sina paragraph verbatim,ndio maana nikakwambia Google up...

Kwajibu lako inaonesha unapima watu,which is really a sinister aim!

Shida ya sisi wanadamu (mimi na wewe included) hua tunapouliza maswali kwa outer aim ya kujifunza kumbe inner aim yetu ni kumpima muulizwaji swali,hii hali inatufanya tunakua wanafiki sana.

Mkuu,ingia Google andika hivi "Differences Between Businessman and Entrepreneur",you will get shit load of materials na utaelewa vizuri sana!
 
Brother nakushauri vijana wako wa blog wanapokwenda kwenye event kufanya coverage uwe unawapa pesa ya nauli na pesa ya lunch, hata kama event haina chakula hilo jina la Super brand haliwezi kupata aibu.

Sina haja ya kuandika mengi unalijuwa hili, tupunguze ubabaishaji kulinda status.

- Huwa hawaendi kokote bila kuitwa, na kuna wanaojitolea bure so usichanganye na kwa kawaida huwa wanalipwa huko huko hapa nina wafanyakazi waajiriwa na wanaojitolea so usichanganye.

le Mutuz Superbrand
 
Kuna watu waliocha kazi huko kwenye TV zenu huenda humjawalipa au mna ugonvi nao, hao wameleta chuki zao kwenu yakupasa uwalipe pesa zao pengine ndiyo wenye rava 4 wanajua siri zenu soma vizuri michango ya wachangiaji wanaowajua wewe na mosha, Mie simjui mosha lakini wewe Le mutuz najua Tabia zako ni za hovyo ndiyo maana nakomaa na wewe pekee mpaka ufike mahala uende kanisani kutubu uokoke ndipo nitaacha kukuchapa mawe.

- Kwenye media kuna kujitolea bure kwanza then ndio uajiriwe, so hakikisha hilo kwanza!

le Mutuz Superbrand
 
Mkuu,ninajua,ila sina paragraph verbatim,ndio maana nikakwambia Google up...

Kwajibu lako inaonesha unapima watu,which is really a sinister aim!

Shida ya sisi wanadamu (mimi na wewe included) hua tunapouliza maswali kwa outer aim ya kujifunza kumbe inner aim yetu ni kumpima muulizwaji swali,hii hali inatufanya tunakua wanafiki sana.

Mkuu,ingia Google andika hivi "Differences Between Businessman and Entrepreneur",you will get shit load of materials na utaelewa vizuri sana!
Nina imani endapo Le mutuz na mosha hawatakulipa haki zako huenda ukawasomea Albadri kali sana, Le mutuz popote ulipo ingawa umeingia kufuturu pasipo kufunga ukimaliza nenda kawalipe haki zao kwanza acha kula haki za watu.
 
images (7).jpeg

Basi atakuwa kamwingiza mkenge kwenye mengi zaidi.
 
Devis mosha inaelekea mpo close zaidi? au wewe ndiyo ulinyang’anyana rava4 , nimesoma Uandishi wako vizuri na kwa makini nimegundua una kitu moyoni dhidi ya Mosha ni wakati uweke wazi ili jukwaa la JF litoe hukumu ulipwe haki zako, au kama vipi uende kwa Le mutuz kudai chako au unawaogopa wasiojulikana akina Heri Kisanduku makapero? Mzee wa Nissan nyeupe?

Hapana mkuu...sema natoka nae Moshi,sio jirani,ni kama Tarafa zilizoko mkabala...namjua kwa nje tu..

Mashauzi aliyoyafanya Moshi nayajua ndio maana nikawa interested kufatilia..Which is understandable!
 
Mnapiga kazi ya kudidimiza Demokrasia,mnapiga kazi ya kudhoofisha upinzani ndiyo kazi inakupa pesa nyingi sasa na ujue chadema wanakumaindi sana ipo siku watakusuta live huko night club unapozurula.

- Unajua kama kweli ningekuwa nafanya hayo mambo unayoyasema ningehitaji ulinzi na nisingekuwa nakula maisha popote pale kama ninavyoishi free and independent, ni kelele za mlango tu!

le Mutuz Superbrand
 
Hahaha mkuu sikua pale km staff,nilienda km mtaalamu tu ,na baada ya kuona malipo ya kuzungushana sikurudi tena

- HAkukuwa na malipo kulikuwa na posho ya nauli tu kwa sababu hakukuwa na aliyeajiriwa wote walikuwa wanajitolea. Nenda media zote za bongo utawakuta wa kujitolea!

le Mutuz Superbrand
 
Hahahaa

This proves my theory about Mosha's business management skills....Very poor skills...

Yaani mtu kama Millard Ayo au Majay anampita mbali mno...

- Ayo na Majizo ni media people Mosha ni mtu wa mafuta, vitu viwili tofauti unawezaje kuwalinganisha ni hadithi za abunuwas hahahahahaha!

le Mutuz Superbrand
 
- Kwenye media kuna kujitolea bure kwanza then ndio uajiriwe, so hakikisha hilo kwanza!

le Mutuz Superbrand
dezo dezo huua pia Dezo la Bongo huzaa Rushwa ya ngono pengine usikute ulipiga Rushwa ya ngono kisha hukuwaajiri, ninavyokujua wewe hapo lazima kuna vioja ulifanya siku nikija huko Dsm nitafanya uchunguzi yakinifu kubaini Uonevu, Uovu wako wote.
 
Mkuu mie pale nilishaenda km mtaalamu wa kitu Fulani ,nawajua vzr hadi set up zao ,hawakua na plan zao ya maneno tu,mby Mosha alimuamini le mutuz na CEO ,halafu wao wenyewe wakawa wanavimbiana , na walivyofeli ,since day one nikajua hawafiki mbali ,sasa naona humu anavyopambana nacheka ,kihutu, hihiiiii

- Ni maneno ya mtaani ambayo hayana lolote, mimi sikuwahi kuhusika na lolote la production so ni uongo wa kitoto sana!

le Mutuz
 
dezo dezo huua pia Dezo la Bongo huzaa Rushwa ya ngono pengine usikute ulipiga Rushwa ya ngono kisha hukuwaajiri, ninavyokujua wewe hapo lazima kuna vioja ulifanya siku nikija huko Dsm nitafanya uchunguzi yakinifu kubaini Uonevu, Uovu wako wote.

- huu ni utabiri wa uganga wa kienyeji tu hahahahaha pole sana!

le Mutuz Superbrand
 
Nina imani endapo Le mutuz na mosha hawatakulipa haki zako huenda ukawasomea Albadri kali sana, Le mutuz popote ulipo ingawa umeingia kufuturu pasipo kufunga ukimaliza nenda kawalipe haki zao kwanza acha kula haki za watu.
Hahahaaa..Mkuu,you cant believe,sina connection na hawa watu by any means whatsoever!

Mosha,natoka nae Tarafa jirani,na bakora zake Moshi enzi yupo juu nazifahamu,ndio maana nimekua interested kumfatilia...Sina any connection nae.

Mashauzi yake yalizidi,alitukana wapiga kura Moshi pale uwanja wa Mashujaa,everybody knows...Kuna resentment tunayo na huyu mtu....
 
Back
Top Bottom