Mkuu,tuna-improve step by step..wazawa wanapanda..please angalia takwimu za CRB kwa 30 years period utanielewa vizuri tu!
Mkuu,hizo sectors zote tulikua chini na kila mwaka tunapanda tunapoendelea kufanya curation of the local talent na sera...technology sio lazima uvumbue kitu au uwe na patent,vitu kama maxmalipo,m-pawa ambayo ilianza mpesa wakaiba,apps mbalimbali,majiko sanifu,zana za kilimo ndogo ndogo,etc..ni hatua.
Hatuwezi shindana na EU,ila hatua zipo mkuu mwaka kwa mwaka!Na bank zinazomilikiwa na weusi ndio zinazofanya vizuri TZ,please kaangalie!
Mkuu,Mosha anaweza magari na malori,nothing wrong with that,IQ yake ndio inaweza vitu hivyo vya low mental work!Nothing to be ashamed of mzee.
Huwezi kumpa Mosha u-genius kwa kuajiri watu wengi,u-genius haupimwi kwa ajira.Ni wrong way ya kupima IQ ya mtu.Na pia mtu kuajiri watu haitoi sifa ya yeye kua mpumbavu kama wengine.
Makampuni ni ya aina tofauti,kuna ya low employment volume na high employment volume,waendesha makampuni hawa wawili hawapimwi IQ kwa idadi ya employees,labda complexities ya majukumu ya hao employees.
Mimi naona tusigombane sana,Mosha ka-prove failure,ni ukweli,na biashara anazozipenda ni za low-mental-work types,kauza Media house kaenda kufungua hoteli,you see the trend here?