Mo asingemtumia bashite na wengineo waliokua matawi kipindi kile kuwazuia hao jamaa kuisaidia Yanga,hao walikua wanatishwa wakigusa Yanga yatawakuta ya manji,Yanga si ya kutembeza bakuli nchi hii lakini ilitembeza baada ya matajiri wote wanaoipenda Yanga kupigwa mkwara,mikia mkae kwa kutulia sana hao jamaa wana hasira kali,maji mtaita mma
Tuliza kinanii wewe jua huyu Simba huyu Uto... Uwe na dabu.Mpira uwanjani,wanaume wazima unganeni hata mfike 100 lakini hamumuwezi Mwanaume wa shoka mmoja tu nae ni MO! Yeye anatenda kwa vitendo,waleteni wote na pesa zao za kuunga unga lakini bado watakalishwa chini.
Tulia hivyo hivyo dawa ikuingie vizuri, usije ukakatisha dozi, hii ndo kamati tendaji coz huwa kuna match za ligi kuu za Yanga huwa zinachezewa sana basi dawa yake tushaipatahawa na wale friends of simba ya kina aveva na hans na wengine ndo walikuwa wako kwenye kushindana fitna za nje ya uwanja baina ya hiz club mbili...
kama watarudi na mentality ile ile ya fitna za nje ya uwanja bila kukubali mabadiliko ili soka letu likuwe kama walivyokubali friends of simba kukaa pemben basi hawataisaidia yanga
maana fitna za nje ya uwanja na mambo ya kusajili na wachezaj wa kawaida hayakusaidia mpira wetu ndo maana Friends of Simba walipo ridhia kukaa pemben basi mambo yakabadilika kule simba
NB: naposema wakubali kubadilika namaanisha wesiwe na mentality ya kutengeneza pesa kupitia yanga, maana tunajua haya makundi ya wafanyabiashara yaliokuwepo Yanga na Simba yalikuwa yanatumia mfumo dhaifu wa hizi club kwa maslahi yao zaid kuliko club,
maana yalikuwa yanafanya fitna za nje ya uwanja na pia wanahodhi mambo ya usajili .. kwa kusajili wachezaji kisha kujilipa kwenye viingilio au kuwauza wachezaji au kutengeneza jersey na kujinufaisha wao wafanyabiashara
ndo walikuwa wanatengeneza makundi ya makomandoo na wale wanaojiita wazee wa club wakiona kuna kiongoz analeta chokochoko basi hao makomandoo na wazee kwa kofia za wanachama wanamtengenezea zengwe..
walikuwa hawagombei uongoz wao wanajifanya wafia club na wanahudumia club ila wanatoa 10 wanapata 100
Wa upande wa Simba walionekana kuamua kubadilika na kuweka maslah kwanza ingawa ndo yakaja yale ya kina Aveva kuwekwa ndan kwa kuizilumu Simba sijui case imeishaje
kwa upande wa Yanga alipokuja GSM naona hawa jamaa wakakaa pemben saaa hv kama wemerud ni vizuri kama wataamua kuweka maslah ya club kwanza
maana habar ya kusajiliana wachezaj wa kuweza kumfunga gormahia tu na APR.. tukabak kushindana vikombe vya humu ndan ambavyo havikupi hata 500m kwa mshindi zishapita
Kununua mechi ndio ukatili au ni kuua soka letu...Utakua umekuja mjini juzi ndio maana huwajui hao watu,hao jamaa ni wakatili sana katika soka la Tanzania
Kuna game zetu nyingi za Yanga ligi kuu huwa zinachezewa sana, basi dawa yao tumepaitaKununua mechi ndio ukatili au ni kuua soka letu...
Simba tulishavuka level za kutishwa na kamati tu.Hao jamaa wameteuliwa kwenye kamati ya mashindano au ukipenda unaweza kuuita kamati ya roho mbaya,makolo mkae kwa kutulia
View attachment 1919742
Simba Ni Next LevelHuu sio muda wa kupambana na simba
Shauri yako
ligi tu Simba waliiomba Azam wafanye lolote linalowezekana waifunge Yanga, jiulize Simba hutumia ushawishi gani kwa timu nyingine.Simba Ni Next Level
Imeshiriki Mashindano Makubwa Kwa Uwezo
Hao Wanataka Mafanikio Kwa Ujanjaujanja
Mmmh,wewe ni mwanaume kweli? Umejuaje Mo ni mwanaume wa shoka? Hatari kweli kweliMpira uwanjani,wanaume wazima unganeni hata mfike 100 lakini hamumuwezi Mwanaume wa shoka mmoja tu nae ni MO! Yeye anatenda kwa vitendo,waleteni wote na pesa zao za kuunga unga lakini bado watakalishwa chini.
Wewe umejuaje wananunua mechi? Ndiyo tabis yenu nyie Nyama pori? Safari lazima mliwe kwa chumvi kwa mbali,pilipili na kachumbariKununua mechi ndio ukatili au ni kuua soka letu...
Jiandae kisaikolojia,mwenye kombe lake analitaka kwa namna yoyote.Kaa mkao wa kupokea matokeo yoyote kwa kila mechi,nakushauri acha kubeti utaliwaSimba Ni Next Level
Imeshiriki Mashindano Makubwa Kwa Uwezo
Hao Wanataka Mafanikio Kwa Ujanjaujanja
Mkuu FoS wengi wai ni wakurugenzi bodi ya simba sc .hivyo hawako mbali na timu .hans.kd.magori.try again.mulamu ng'ami nkhawa na wale friends of simba ya kina aveva na hans na wengine ndo walikuwa wako kwenye kushindana fitna za nje ya uwanja baina ya hiz club mbili...
kama watarudi na mentality ile ile ya fitna za nje ya uwanja bila kukubali mabadiliko ili soka letu likuwe kama walivyokubali friends of simba kukaa pemben basi hawataisaidia yanga
maana fitna za nje ya uwanja na mambo ya kusajili na wachezaj wa kawaida hayakusaidia mpira wetu ndo maana Friends of Simba walipo ridhia kukaa pemben basi mambo yakabadilika kule simba
NB: naposema wakubali kubadilika namaanisha wesiwe na mentality ya kutengeneza pesa kupitia yanga, maana tunajua haya makundi ya wafanyabiashara yaliokuwepo Yanga na Simba yalikuwa yanatumia mfumo dhaifu wa hizi club kwa maslahi yao zaid kuliko club,
maana yalikuwa yanafanya fitna za nje ya uwanja na pia wanahodhi mambo ya usajili .. kwa kusajili wachezaji kisha kujilipa kwenye viingilio au kuwauza wachezaji au kutengeneza jersey na kujinufaisha wao wafanyabiashara
ndo walikuwa wanatengeneza makundi ya makomandoo na wale wanaojiita wazee wa club wakiona kuna kiongoz analeta chokochoko basi hao makomandoo na wazee kwa kofia za wanachama wanamtengenezea zengwe..
walikuwa hawagombei uongoz wao wanajifanya wafia club na wanahudumia club ila wanatoa 10 wanapata 100
Wa upande wa Simba walionekana kuamua kubadilika na kuweka maslah kwanza ingawa ndo yakaja yale ya kina Aveva kuwekwa ndan kwa kuizilumu Simba sijui case imeishaje
kwa upande wa Yanga alipokuja GSM naona hawa jamaa wakakaa pemben saaa hv kama wemerud ni vizuri kama wataamua kuweka maslah ya club kwanza
maana habar ya kusajiliana wachezaj wa kuweza kumfunga gormahia tu na APR.. tukabak kushindana vikombe vya humu ndan ambavyo havikupi hata 500m kwa mshindi zishapita
Ndama si yupo ndani ya nondo.Wamemsahau ndama
Kama Hans Pope na Friends of Simba sioWazee wa Airtel money...hawa ndio wanaharibu soka letu
Maji mtaita mma awamu hiiKununua mechi ndio ukatili au ni kuua soka letu...