Davis Mosha, Seif Magari na Abdallah Kleb warudi Yanga

Mo asingemtumia bashite na wengineo waliokua matawi kipindi kile kuwazuia hao jamaa kuisaidia Yanga,hao walikua wanatishwa wakigusa Yanga yatawakuta ya manji,Yanga si ya kutembeza bakuli nchi hii lakini ilitembeza baada ya matajiri wote wanaoipenda Yanga kupigwa mkwara,mikia mkae kwa kutulia sana hao jamaa wana hasira kali,maji mtaita mma

Unganeni Wanaume wote wa Utopolo,hamuiwezi Simba.
 
Mpira uwanjani,wanaume wazima unganeni hata mfike 100 lakini hamumuwezi Mwanaume wa shoka mmoja tu nae ni MO! Yeye anatenda kwa vitendo,waleteni wote na pesa zao za kuunga unga lakini bado watakalishwa chini.
Tuliza kinanii wewe jua huyu Simba huyu Uto... Uwe na dabu.
 
hawa na wale friends of simba ya kina aveva na hans na wengine ndo walikuwa wako kwenye kushindana fitna za nje ya uwanja baina ya hiz club mbili...

kama watarudi na mentality ile ile ya fitna za nje ya uwanja bila kukubali mabadiliko ili soka letu likuwe kama walivyokubali friends of simba kukaa pemben basi hawataisaidia yanga

maana fitna za nje ya uwanja na mambo ya kusajili na wachezaj wa kawaida hayakusaidia mpira wetu ndo maana Friends of Simba walipo ridhia kukaa pemben basi mambo yakabadilika kule simba

NB: naposema wakubali kubadilika namaanisha wesiwe na mentality ya kutengeneza pesa kupitia yanga, maana tunajua haya makundi ya wafanyabiashara yaliokuwepo Yanga na Simba yalikuwa yanatumia mfumo dhaifu wa hizi club kwa maslahi yao zaid kuliko club,

maana yalikuwa yanafanya fitna za nje ya uwanja na pia wanahodhi mambo ya usajili .. kwa kusajili wachezaji kisha kujilipa kwenye viingilio au kuwauza wachezaji au kutengeneza jersey na kujinufaisha wao wafanyabiashara

ndo walikuwa wanatengeneza makundi ya makomandoo na wale wanaojiita wazee wa club wakiona kuna kiongoz analeta chokochoko basi hao makomandoo na wazee kwa kofia za wanachama wanamtengenezea zengwe..

walikuwa hawagombei uongoz wao wanajifanya wafia club na wanahudumia club ila wanatoa 10 wanapata 100

Wa upande wa Simba walionekana kuamua kubadilika na kuweka maslah kwanza ingawa ndo yakaja yale ya kina Aveva kuwekwa ndan kwa kuizilumu Simba sijui case imeishaje

kwa upande wa Yanga alipokuja GSM naona hawa jamaa wakakaa pemben saaa hv kama wemerud ni vizuri kama wataamua kuweka maslah ya club kwanza

maana habar ya kusajiliana wachezaj wa kuweza kumfunga gormahia tu na APR.. tukabak kushindana vikombe vya humu ndan ambavyo havikupi hata 500m kwa mshindi zishapita
Tulia hivyo hivyo dawa ikuingie vizuri, usije ukakatisha dozi, hii ndo kamati tendaji coz huwa kuna match za ligi kuu za Yanga huwa zinachezewa sana basi dawa yake tushaipata
 
Simba Ni Next Level
Imeshiriki Mashindano Makubwa Kwa Uwezo
Hao Wanataka Mafanikio Kwa Ujanjaujanja
ligi tu Simba waliiomba Azam wafanye lolote linalowezekana waifunge Yanga, jiulize Simba hutumia ushawishi gani kwa timu nyingine.
 
Fogo Davis Mosha mutu ya pakee.

DM.jpg
 
Mpira uwanjani,wanaume wazima unganeni hata mfike 100 lakini hamumuwezi Mwanaume wa shoka mmoja tu nae ni MO! Yeye anatenda kwa vitendo,waleteni wote na pesa zao za kuunga unga lakini bado watakalishwa chini.
Mmmh,wewe ni mwanaume kweli? Umejuaje Mo ni mwanaume wa shoka? Hatari kweli kweli
 
hawa na wale friends of simba ya kina aveva na hans na wengine ndo walikuwa wako kwenye kushindana fitna za nje ya uwanja baina ya hiz club mbili...

kama watarudi na mentality ile ile ya fitna za nje ya uwanja bila kukubali mabadiliko ili soka letu likuwe kama walivyokubali friends of simba kukaa pemben basi hawataisaidia yanga

maana fitna za nje ya uwanja na mambo ya kusajili na wachezaj wa kawaida hayakusaidia mpira wetu ndo maana Friends of Simba walipo ridhia kukaa pemben basi mambo yakabadilika kule simba

NB: naposema wakubali kubadilika namaanisha wesiwe na mentality ya kutengeneza pesa kupitia yanga, maana tunajua haya makundi ya wafanyabiashara yaliokuwepo Yanga na Simba yalikuwa yanatumia mfumo dhaifu wa hizi club kwa maslahi yao zaid kuliko club,

maana yalikuwa yanafanya fitna za nje ya uwanja na pia wanahodhi mambo ya usajili .. kwa kusajili wachezaji kisha kujilipa kwenye viingilio au kuwauza wachezaji au kutengeneza jersey na kujinufaisha wao wafanyabiashara

ndo walikuwa wanatengeneza makundi ya makomandoo na wale wanaojiita wazee wa club wakiona kuna kiongoz analeta chokochoko basi hao makomandoo na wazee kwa kofia za wanachama wanamtengenezea zengwe..

walikuwa hawagombei uongoz wao wanajifanya wafia club na wanahudumia club ila wanatoa 10 wanapata 100

Wa upande wa Simba walionekana kuamua kubadilika na kuweka maslah kwanza ingawa ndo yakaja yale ya kina Aveva kuwekwa ndan kwa kuizilumu Simba sijui case imeishaje

kwa upande wa Yanga alipokuja GSM naona hawa jamaa wakakaa pemben saaa hv kama wemerud ni vizuri kama wataamua kuweka maslah ya club kwanza

maana habar ya kusajiliana wachezaj wa kuweza kumfunga gormahia tu na APR.. tukabak kushindana vikombe vya humu ndan ambavyo havikupi hata 500m kwa mshindi zishapita
Mkuu FoS wengi wai ni wakurugenzi bodi ya simba sc .hivyo hawako mbali na timu .hans.kd.magori.try again.mulamu ng'ami nk
 
Huu ndo mfumo mpya uliopitishwa na wanachama juzi?
Uongozi msola umemshinda. Juzi manara kasema kaja kuwapa kombe hankumuanini mpaka muunde kamati tena? Na je CEO wenu mpya atakua na kazi gani?
Mbaya zaidi mnatangaza hadharani!? Kwa hiyo takukuru na tff itawaacha tu sio!
 
Back
Top Bottom