Nilishawahi kuugua vidonda vya tumbo. Nimepona kwa kula pilipili kali za mwendokasi.Mkuu kama huna cha kusaidia au kutoa ushauri ni bora ukatulia kuliko kuandika hiki.
Lakini nahisi dawa direct ya kuponya haipo hata waziri mkuu wa japan alivojihuzuri aligusia vidonda vya tumbo kumsumbuasijui vyako vipo stage gani ila nenda hospital ukashauriwe na wataalamu, pia nasikia Relcer Gel na omephrazole zinasaidia
Hizi dawa zilinisaidia kupona ila kabla ya kutumia ni vizuri ukakutana na wataalam wa afya.Aisee hivi vidude vinanitesa nimekunywa kila aina ya matakataka ya dawa za hospitalini na tiba mbadala lakini bado vinanisumbua, angalau kidogo dawa zinaitwa legal kit zinisaidia lakini zingine ni kama natupa hela na kutesa tumbo kwa madawa
Na ni bora vingekuwa vinasumbua tumboni lakini mimi vinanitesa zaidi kwa maumivu ya vichomi mgongoni na kifuani upande wa moyo yaani hata kukohoa kucheka au kutikisa mkono wa kushoto ni maumivu makali sana
Wengine wamepona kwa kula papai bivu kila siku kabla ya kula chakula cha asubuh, mchana na usiku. Pia epuka kula vyakula vunavyo pelekea tumbo kuuma.Aisee hivi vidude vinanitesa nimekunywa kila aina ya matakataka ya dawa za hospitalini na tiba mbadala lakini bado vinanisumbua, angalau kidogo dawa zinaitwa legal kit zinisaidia lakini zingine ni kama natupa hela na kutesa tumbo kwa madawa
Na ni bora vingekuwa vinasumbua tumboni lakini mimi vinanitesa zaidi kwa maumivu ya vichomi mgongoni na kifuani upande wa moyo yaani hata kukohoa kucheka au kutikisa mkono wa kushoto ni maumivu makali sana
Hayawi yekundu, ni nyeusi kabisa kama masizi ya mkaa.. Nimeanza kunywa chai yake inakaribia wiki ya tatu sasa naona niko vizuriUkichemsha yanakua na rangi yekundu?
Kupona vidonda vya tumbo sio rahisi kwa sababu vipo ndani ya tumbo na tumboni kuna chemical na pia asilimia kubwa ya vyakula vina kemikal , ili upone lazima utafute namna ya kuepuka Vyakula vyenye kemikal na kula vyakula vyenye uwezo wa kukabiliana na acid ili vidondo vipate mda wa kupona.Niko na majani nayatumia saizi kutoka umasaini huko ndanindani naona walau yanafanya vizuri.. Ila hizi za hospitali nimehangaika sana bila mafanikio