Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Aisee hongera sana na utapona inshallahJana nlivotoka Kazin jioni Kwa eneo nliloppo nlikosa bamia Na cabbage Kwa muda ule...Ila nlibahatika kupata majani ya mashona nguo yamejiotea mengi Sana nje ya fence.....nikachuma majani kidogo nikachemsha glass moja Na asubuhi nikachemsha glass moja nikanywa..........kiukwel nimepata nafuu kubwa ukilinganisha Jana pia nimekua Na appetite Kali nakula Sana Na kuskia njaa sana