Dawa gani ilikusaidia kwenye ugonjwa wa vidonda vya tumbo?

Dawa gani ilikusaidia kwenye ugonjwa wa vidonda vya tumbo?

Jana nlivotoka Kazin jioni Kwa eneo nliloppo nlikosa bamia Na cabbage Kwa muda ule...Ila nlibahatika kupata majani ya mashona nguo yamejiotea mengi Sana nje ya fence.....nikachuma majani kidogo nikachemsha glass moja Na asubuhi nikachemsha glass moja nikanywa..........kiukwel nimepata nafuu kubwa ukilinganisha Jana pia nimekua Na appetite Kali nakula Sana Na kuskia njaa sana
Aisee hongera sana na utapona inshallah
 
Tafuta Omeprazone 20mg imeandikwa gold fish viko kwenye box ya Pink na nyeupe.Mimi nimetumia miezi 6 kila baada ya siku moja na nimepona kabisa.
Nimefanyiwa checking ya kuingiza mipira kupitia puani hadi tumboni. Na ikathibitishwa nimepona kabisa.Huu ni mwaka wa 10 sasa sina tatizo hilo kabisa.

Mkuu Tui , hadi sasa tumbo limetulia kabisa? Hiyo tiba inagharimu kiasi gani?
 
Aisee hivi vidude vinanitesa nimekunywa kila aina ya matakataka ya dawa za hospitalini na tiba mbadala lakini bado vinanisumbua, angalau kidogo dawa zinaitwa legal kit zinisaidia lakini zingine ni kama natupa hela na kutesa tumbo kwa madawa.

Na ni bora vingekuwa vinasumbua tumboni lakini mimi vinanitesa zaidi kwa maumivu ya vichomi mgongoni na kifuani upande wa moyo, yaani hata kukohoa kucheka au kutikisa mkono wa kushoto ni maumivu makali sana.
Kuna jamaa nilisimulia juu ya hali kama hiyo alinambia kuna ana dawa from kigoma imewasaidia wengi, kama upo intersted na upo Dar naweza kuku link nao uone namna unasaidika!
 
Back
Top Bottom