Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
relax hebu punguza shobo basi bibie. Katika comment yote umeona kwa shemeji tu?
Alieambiwa kakaa kimya wewe unaleta ushawishi. Tulia basi bibie, maisha ni mafupi mno kuchukulia kila kitu so seriously.
Pumbavu mkubwa shoga wee, mtu anaumwa na anahitaji msaada wa dawa ili apone halafu wewe unaleta masihara ya pwani!!.
Mambo ya shemeji kujihudumia ndio dawa ya fungus??, mimi nilidhani ungemuambia asitishe tendo hilo ili kama ni maji yanayotokana na tendo hilo yasifike eneo hilo kwani baadhi ya fungus Candid hutokea kwa mwanamke kwenda kwa mwanaume.
Acheni bangi za vijiweni wakati watu wanapohitaji misaada katika shida, you need to observe seriousness in such a case.