Seawhale
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 1,477
- 1,668
Daah, mwambie tu asitumie sabuni ya kipande kama ya magadi n.k. unakwepa vipi matumizi ya sabuni sehemu za siri?, muhimu ajioshe kwa maji ya moto na baridi kwa wingi akishapaka sabuni.Tumia dawa za kumeza za fangs na zakupata eneo usika,afu usipende kutumia sabuni huko chini siyo nzuri