Dawa inapenya mtulie: Mara Hamuwezi kumsajili Aziz Ki, mara zile picha ni feki. Sasa hivi Mnasema oooh mmemsajili kwa Pesa nyingi

Dawa inapenya mtulie: Mara Hamuwezi kumsajili Aziz Ki, mara zile picha ni feki. Sasa hivi Mnasema oooh mmemsajili kwa Pesa nyingi

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
1658156561806.png


Mara Hamuwezi kumsajili,,Mara Zile Picha ni feki, mara Fyoko Fyoko.

Sasa hivi Mnasema oooh mmemsajili Kwa Pesa nyingi, Kwani Pesa zenu au za Shangazi zenu?

Kinawauma nini hata tukimsajili bure au kwa Mamilioni?
 
Uto vipi tena mbona mna makasiriko sana?

Kutokwenda kwenu kuweka kambi uturuki kwasababu ya huyo dogo hakutaka "mafungu" msitununie sisi.
 
Yaani umsajili aziz ki kwa mihela yote halafu kimataifa mnacheza mechi mbili mnarudi kucheza na nambungo hayo ni matumizi mabaya ya funguo na hela.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah mbna mmeanza kuteseka mapemaaa.
Vipi Funguo imeharibu kufuli??

Byuti byuti.
 
Back
Top Bottom