sky soldier JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 5,407 Reaction score 19,264 Jul 18, 2022 #1 Mara Hamuwezi kumsajili,,Mara Zile Picha ni feki, mara Fyoko Fyoko. Sasa hivi Mnasema oooh mmemsajili Kwa Pesa nyingi, Kwani Pesa zenu au za Shangazi zenu? Kinawauma nini hata tukimsajili bure au kwa Mamilioni?
Mara Hamuwezi kumsajili,,Mara Zile Picha ni feki, mara Fyoko Fyoko. Sasa hivi Mnasema oooh mmemsajili Kwa Pesa nyingi, Kwani Pesa zenu au za Shangazi zenu? Kinawauma nini hata tukimsajili bure au kwa Mamilioni?
denooJ JF-Expert Member Joined Mar 31, 2020 Posts 18,509 Reaction score 68,228 Jul 18, 2022 #2 Uto vipi tena mbona mna makasiriko sana? Kutokwenda kwenu kuweka kambi uturuki kwasababu ya huyo dogo hakutaka "mafungu" msitununie sisi.
Uto vipi tena mbona mna makasiriko sana? Kutokwenda kwenu kuweka kambi uturuki kwasababu ya huyo dogo hakutaka "mafungu" msitununie sisi.
Vawulence JF-Expert Member Joined Jan 4, 2009 Posts 1,930 Reaction score 2,118 Jul 18, 2022 #3 Nani amesajiliwa kwa pesa nyingi? Yaani bure nayo ni pesa nyingi?
pwilo JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 10,913 Reaction score 13,876 Jul 18, 2022 #4 Yaani umsajili aziz ki kwa mihela yote halafu kimataifa mnacheza mechi mbili mnarudi kucheza na nambungo hayo ni matumizi mabaya ya funguo na hela.
Yaani umsajili aziz ki kwa mihela yote halafu kimataifa mnacheza mechi mbili mnarudi kucheza na nambungo hayo ni matumizi mabaya ya funguo na hela.
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 Jul 19, 2022 #5 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah mbna mmeanza kuteseka mapemaaa. Vipi Funguo imeharibu kufuli?? Byuti byuti.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah mbna mmeanza kuteseka mapemaaa. Vipi Funguo imeharibu kufuli?? Byuti byuti.
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Jul 19, 2022 #6 Usitufokeee .