Dawa inayodaiwa kutibu UKIMWI yagundulika nchini Israel

Status
Not open for further replies.
samahani mkuu unaweza kunipa link ya sehemu ulipozitoa hizo data zako ili nijiridhishe na mimi

kama hutajali lakini.
 
Kama wanaruhusiwa kula nguruwe ili wasife, sidhani kama watakatazwa kutumia dawa ya waisraeli ili wasife pia. Wachague wenyewe, kifo au tiba.
hata ukinywa wewe kafiri mwenzao cku yako ikifika utakufa tu, nilifikir hyo dawa ni ushauri kuzuia kufa
 
Inakusaidia nini wewe kama Mtanzania ? Au unafikiri wale ni wakatoliki?


Wasio aminikua Israel nitaifa teule na wasitumie coz huwez tumia kitucha kafiri hahahaaaa,nawanao amini Israeli n TAIFA la kizayuni wasitumie hahaaaa ,nawasio amin kua nitaifa teule hahaaa.
 
Unajua man katika swala la afya hakuna dini wala itikadi. Its simple ... hutaki dawa iliyotengenezwa israeli... badi uendelee kumeza ARV mpaka siku ya kufa kwako.
Masuala sijui upande wa pili utaonaje.. hiyo si vizuri. na je... dini au tofauto kati ya jamii fulani ni muhim kuliko uhai?
Formula ni rais.. Do or Die....
 
Watakan kata....kaka yake na khadija tako bovu.

Umeulizwa swali unaleta maelezo kama hotuba

Ni dini gani inayoruhusu uzinifu?
 
HIV bwana inahitaji ujasiri kutoa neon kuwa mimi ni mwathirika, watu wako nyuma ya keyboard lakini kila mtu anasema mtu flani alipat.
 
samahani mkuu unaweza kunipa link ya sehemu ulipozitoa hizo data zako ili nijiridhishe na mimi

kama hutajali lakini.
Hakuna link zaidi ya ukweli kuwa ukimwi unaambukizwa zaidi kwa njia ya kum'fira mwanamke au mwanaume kuliko kumfanya mwanamke katika njia ya kawaida

Sasa jamii ya wanaofanyia wake zao hivyo ili kutunza bikira ya mbele ndiyo inayoleta nyenyenyee nyingi.

Btw, umeomba uletewe data, namimi ninaisubiri kwa hamu na iwe imefanyiwa research na mtaalam isiwe imetoka kwenye kichwa cha sheikh mmoja au wawili wa magomeni ama tandale.
 
Watakan kata....kaka yake na khadija tako bovu.

Umeulizwa swali unaleta maelezo kama hotuba

Ni dini gani inayoruhusu uzinifu?
Wewe utakuwa sio mzima,unaniuliza kuhusu dini nyingine habari zao,waulize wenye hizo dini.Mimi hapa nimekuletea habari za uislamu,kwa vile mimi ni muislamu.Wa dini nyingine waulize Wenye dini hizo.
 

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mkuu unanifurahisha kinoma,

Yeah mimi nimeonba data kuhusu anachokisema au basi atoe hata link sisi tukasomw wenyewe hizo data.

Kama ni maneno ya midomoni kila mtu anaweza kusema yake.

Kwahiyo nikisema SAUDI ARABIA kuna waathirika wengi kuliko ROME bila kukuletea visibitisho na data mwisho utaniona mzushi tu.

Baba azarel mwambie atupe data mimi sitaki tena kubishana nae.
 
Hao wa dini inayosemwa,katika habari hiyo ya dawa ya UKIMWI,maeneo yao ya mashariki ya kati na kaskazini ya Afrika,ambao ndio wako wengi,maamnukizi ni 0.1%.Maambukizi yao ni madogo sana,ukilinganisha na maeneo yenye dini nyingine ni 5% ya Afrika,kusini ya jangwa la sahara.Kwa hiyo kwao si tatizo kubwa.Na katika hiyo 0.1%,huwenda ikawa ni wa dini isio yao kwa asilimia kubwa,kwa sababu maeneo hayo wapo wa dini nyingine,kwa idadi ndogo sana.
 
Wagundue na chanjo ya kutougua kisukari au kansa kama ilivyo chanjo ya magonjwa mengine utotoni
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…