jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,329
mkuu sijakuelewa una maanisha ninilakini watu wanakufa kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu sijakuelewa una maanisha ninilakini watu wanakufa kweli
samahani mkuu unaweza kunipa link ya sehemu ulipozitoa hizo data zako ili nijiridhishe na mimiWewe julize swali kwa nini nchi zenye waislamu wengi,maambukizi ni 0.1,nchi za mashariki ya kati(ikiwemo Israel,na wakristo waarabu,je ingekuwa ni waislamu watupu ingekuwa ni chini ya hapo)pamoja na Afrika ya Kaskazini yenye waislamu wengi(na wachache wasio waislamu).
Maambukizi ni 0.1%,wakati Afrika kusini ya jangwa la Sahara yenye idadi kubwa ya wasio waislamu,maambukizi 5%.?
hata ukinywa wewe kafiri mwenzao cku yako ikifika utakufa tu, nilifikir hyo dawa ni ushauri kuzuia kufaKama wanaruhusiwa kula nguruwe ili wasife, sidhani kama watakatazwa kutumia dawa ya waisraeli ili wasife pia. Wachague wenyewe, kifo au tiba.
Wasio aminikua Israel nitaifa teule na wasitumie coz huwez tumia kitucha kafiri hahahaaaa,nawanao amini Israeli n TAIFA la kizayuni wasitumie hahaaaa ,nawasio amin kua nitaifa teule hahaaa.
Kweli we TUTUOhata ukinywa wewe kafiri mwenzao cku yako ikifika utakufa tu, nilifikir hyo dawa ni ushauri kuzuia kufa
Unajua man katika swala la afya hakuna dini wala itikadi. Its simple ... hutaki dawa iliyotengenezwa israeli... badi uendelee kumeza ARV mpaka siku ya kufa kwako.Nadhani wamekosea kusema wayahudi/Israel ndiyo wamegundua, ilipaswa waseme kuwa Marekani au nchi nyingine ndiyo wamegundua ili kutoa fursa kwa waathirika wa dini nyingine kuweza kutumia hiyo dawa.
Sasa kwa kutangaza hivyo wengine hawatatumia kwa kuwa bidhaa za nchi hiyo zimesusiwa na dini Fulani pia ni maadui wakuu
Nakukera na nini?Unanikera wewe
Watakan kata....kaka yake na khadija tako bovu.Wewe julize swali kwa nini nchi zenye waislamu wengi,maambukizi ni 0.1,nchi za mashariki ya kati(ikiwemo Israel,na wakristo waarabu,je ingekuwa ni waislamu watupu ingekuwa ni chini ya hapo)pamoja na Afrika ya Kaskazini yenye waislamu wengi(na wachache wasio waislamu).
Maambukizi ni 0.1%,wakati Afrika kusini ya jangwa la Sahara yenye idadi kubwa ya wasio waislamu,maambukizi 5%.?
Hakuna link zaidi ya ukweli kuwa ukimwi unaambukizwa zaidi kwa njia ya kum'fira mwanamke au mwanaume kuliko kumfanya mwanamke katika njia ya kawaidasamahani mkuu unaweza kunipa link ya sehemu ulipozitoa hizo data zako ili nijiridhishe na mimi
kama hutajali lakini.
Wewe utakuwa sio mzima,unaniuliza kuhusu dini nyingine habari zao,waulize wenye hizo dini.Mimi hapa nimekuletea habari za uislamu,kwa vile mimi ni muislamu.Wa dini nyingine waulize Wenye dini hizo.Watakan kata....kaka yake na khadija tako bovu.
Umeulizwa swali unaleta maelezo kama hotuba
Ni dini gani inayoruhusu uzinifu?
Hakuna link zaidi ya ukweli kuwa ukimwi unaambukizwa zaidi kwa njia ya kum'**** mwanamke au mwanaume kuliko kumfanya mwanamke katika njia ya kawaida
Sasa jamii ya wanaofanyia wake zao hivyo ili kutunza bikira ya mbele ndiyo inayoleta nyenyenyee nyingi.
Btw, umeomba uletewe data, namimi ninaisubiri kwa hamu na iwe imefanyiwa research na mtaalam isiwe imetoka kwenye kichwa cha sheikh mmoja au wawili wa magomeni ama tandale.
Hao wa dini inayosemwa,katika habari hiyo ya dawa ya UKIMWI,maeneo yao ya mashariki ya kati na kaskazini ya Afrika,ambao ndio wako wengi,maamnukizi ni 0.1%.Maambukizi yao ni madogo sana,ukilinganisha na maeneo yenye dini nyingine ni 5% ya Afrika,kusini ya jangwa la sahara.Kwa hiyo kwao si tatizo kubwa.Na katika hiyo 0.1%,huwenda ikawa ni wa dini isio yao kwa asilimia kubwa,kwa sababu maeneo hayo wapo wa dini nyingine,kwa idadi ndogo sana.Unajua man katika swala la afya hakuna dini wala itikadi. Its simple ... hutaki dawa iliyotengenezwa israeli... badi uendelee kumeza ARV mpaka siku ya kufa kwako.
Masuala sijui upande wa pili utaonaje.. hiyo si vizuri. na je... dini au tofauto kati ya jamii fulani ni muhim kuliko uhai?
Formula ni rais.. Do or Die....
HahahahaWazinzi wanajiandaa kufanya Sherehe!