Libalikiwa kivipi hilo Taifa.Taifa lililobarikiwa na mungu hakiwezi kushindikana kitu
Limebarikiwa kivipi hilo Taifa..?Taifa lililobarikiwa na mungu hakiwezi kushindikana kitu
heb eleza vizuri mkuuDawa ipo, kaka yangu alikua HIV positive tena alikua ameshapata AIDS kabisa, katibiwa na profesa flani wa pale SUA, Katumia dawa iyo miezi 18. Sasa ivi ni negative huu mwaka wa 3. Dawa zipo ila zinapigwa vita sana
Lakini hapo ndugu kinachobaki ni utashi wa mhusika kama ataona ni vyema kuiponya nafsi akaishi, au asusie na kupotea ikiwa kweli hiyo ni tiba mwafaka. Mtu yupo tayari kupoteza yote aliyonayo kuiponya nafsi yake.Nadhani wamekosea kusema wayahudi/Israel ndiyo wamegundua, ilipaswa waseme kuwa Marekani au nchi nyingine ndiyo wamegundua ili kutoa fursa kwa waathirika wa dini nyingine kuweza kutumia hiyo dawa.
Sasa kwa kutangaza hivyo wengine hawatatumia kwa kuwa bidhaa za nchi hiyo zimesusiwa na dini Fulani pia ni maadui wakuu
HahahaTatizo hakuna hapo mkuu utaki kumeza dawa acha alazimishwi mtu vitu vingine havisuswi vinginevyo utaoza kabla ya kufa
Hakuna fedhuli anayeweza kudumu ndugu, akipona kwa dawa atauwawa na mwenye mali aliyemwibia mwenza wake!Wazinzi wanajiandaa kufanya Sherehe!
Hapo ndipo panapohitaji uelewa wa mambo hasaKama wanaruhusiwa kula nguruwe ili wasife, sidhani kama watakatazwa kutumia dawa ya waisraeli ili wasife pia. Wachague wenyewe, kifo au tiba.
Hao wanao susia bidhaa za israel hawajitambui ndugu yangu,mbona wanatumia google kwenye simu zao?,google ni technologia yao hao waisrael baba kama ulikuwa haujui au hawajui.Nadhani wamekosea kusema wayahudi/Israel ndiyo wamegundua, ilipaswa waseme kuwa Marekani au nchi nyingine ndiyo wamegundua ili kutoa fursa kwa waathirika wa dini nyingine kuweza kutumia hiyo dawa.
Sasa kwa kutangaza hivyo wengine hawatatumia kwa kuwa bidhaa za nchi hiyo zimesusiwa na dini Fulani pia ni maadui wakuu