Dawa inayodaiwa kutibu UKIMWI yagundulika nchini Israel

Dawa inayodaiwa kutibu UKIMWI yagundulika nchini Israel

Status
Not open for further replies.
Na story imeishiahapo sasa ni mambo ya Bashite na gwajima Mhhhh binadam tunakaz ya maana hyasemwi ya kiipuuz yanazungmzwa jwa upana haswaaaaaaa
 
Dawa ipo, kaka yangu alikua HIV positive tena alikua ameshapata AIDS kabisa, katibiwa na profesa flani wa pale SUA, Katumia dawa iyo miezi 18. Sasa ivi ni negative huu mwaka wa 3. Dawa zipo ila zinapigwa vita sana
heb eleza vizuri mkuu
 
Nadhani wamekosea kusema wayahudi/Israel ndiyo wamegundua, ilipaswa waseme kuwa Marekani au nchi nyingine ndiyo wamegundua ili kutoa fursa kwa waathirika wa dini nyingine kuweza kutumia hiyo dawa.
Sasa kwa kutangaza hivyo wengine hawatatumia kwa kuwa bidhaa za nchi hiyo zimesusiwa na dini Fulani pia ni maadui wakuu
Lakini hapo ndugu kinachobaki ni utashi wa mhusika kama ataona ni vyema kuiponya nafsi akaishi, au asusie na kupotea ikiwa kweli hiyo ni tiba mwafaka. Mtu yupo tayari kupoteza yote aliyonayo kuiponya nafsi yake.
 
Kama wanaruhusiwa kula nguruwe ili wasife, sidhani kama watakatazwa kutumia dawa ya waisraeli ili wasife pia. Wachague wenyewe, kifo au tiba.
Hapo ndipo panapohitaji uelewa wa mambo hasa
 
Nadhani wamekosea kusema wayahudi/Israel ndiyo wamegundua, ilipaswa waseme kuwa Marekani au nchi nyingine ndiyo wamegundua ili kutoa fursa kwa waathirika wa dini nyingine kuweza kutumia hiyo dawa.
Sasa kwa kutangaza hivyo wengine hawatatumia kwa kuwa bidhaa za nchi hiyo zimesusiwa na dini Fulani pia ni maadui wakuu
Hao wanao susia bidhaa za israel hawajitambui ndugu yangu,mbona wanatumia google kwenye simu zao?,google ni technologia yao hao waisrael baba kama ulikuwa haujui au hawajui.
 
3da4b007100a21d530ad1e0eb173f29c.jpg
 
Niliuliza mwenye habar kamili kuhusu hii picha mod wakafuta , hebu mwenye muendelezo hapo atujuze
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom