Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli?
Dawa huwa nasikia ni kuzaawanawake tunapitia hali ngumu sana hasa inapofika zile siku maalumu.
Ni dawa ipi nzuri au kitu gani kinaweza kufanyika kupunguza maumivu?
Linatulia tuu, dawa ya tumbo la uzazi linalouma sana ni kuzaa tu.Alipona ee?
Haipo, najiuliza ndo umeanza leo kupata period mkuu?Naomba dawa nyingine 😜
Kwani huna mwenza wewe?Tatizo na nani sasa? 😅
Beba mimba tu hiyo ndiyo dawa sawia.wanawake tunapitia hali ngumu sana hasa inapofika zile siku maalumu.
Ni dawa ipi nzuri au kitu gani kinaweza kufanyika kupunguza maumivu?