Dawa ipi inafaa kwa Tumbo la Period?

Dawa ipi inafaa kwa Tumbo la Period?

Realmamy tulia tu usibebeshwe mimba kwa sababu ya tumbo la period, kulea mimba wengine wanapata tabu sana mpaka miezi mitatu wengine mpaka kuzaa + uchungu wa kujifungua+ kulea+ mwanaume wa kuokoteza= matatizo zaidi, tulia siku za period ni chache siku za mimba 9 month fikir vizr.
 
wanawake tunapitia hali ngumu sana hasa inapofika zile siku maalumu.

Ni dawa ipi nzuri au kitu gani kinaweza kufanyika kupunguza maumivu?


images.jpeg
 
Back
Top Bottom