Dawa ipi inafaa kwa Tumbo la Period?

Dawa ipi inafaa kwa Tumbo la Period?

wanawake tunapitia hali ngumu sana hasa inapofika zile siku maalumu.

Ni dawa ipi nzuri au kitu gani kinaweza kufanyika kupunguza maumivu?
Eeeeeh aaahyaaah 🏃🏻‍➡️ 🏃🏻‍➡️ 🏃🏻‍➡️ 🏃🏻‍➡️
 
Diclofenac nazo zinasaidia kutuliza maumivu hadi siku za mzunguko zipite, hio kusema ujauzito ndio dawa au kuzaa vipi inaganya kazi kwa masista wa huko kanisani.
 
Mara kibao tu hii 😅😅😅
Kumbe kweliiii maana alikua analalamika anasema sijui hii naniliu kubwa..
Hi yangu et...

Nikawa najiuliza ni kweli au ananichora.
Huyu sio mshangazi lakini haka ni katoto ka elfu mbili ambacho nilikutananacho kule tulipokamatwa na halmashauli
 
Back
Top Bottom