Dawa ipi inafaa kwa Tumbo la Period?

Dawa ipi inafaa kwa Tumbo la Period?

Kuna dawa Inaitwa ACEFEN inapatikana pharmacy, hii komesha ya tumbo la period.

Muhimu pia kuzingatia kutumia vyakula vyenye madini ya Magnesium na Calcium kama Maziwa
Nitaenda kuicheki
 
Pole mamy, achana na painkillers zitakuletea matatizo makubwa hapo baadae, kama ni maumivu ambayo hayaathiri shughuli zako za kila siku basi fanya mambo haya,
1. Kama sio mtu wa mazoezi anza kufanya mazoezi mepesi 5 days before your period starts, long walk/run, squats, plank, n.k, mazoezi yanasaidia sana kupunguza maumivu ya MP,

2. Chemsha chai ya mdalasini, karafuu na hiliki weka na asali, anza kunywa chai hiyo 2 days before a period starts na endelea nayo hadi kipindi cha period

3. Mwambie mtu aku massage pole pole maeneo unayohisi maumivu

4. Ukizaa yanaisha ila sikushauri uzae bila plans

NB: maumivu yakiwa makubwa sana kiasi cha kuathiri shughuli zako kamuone Gynecologist ASAP.
 
Kongole ushauri mzuri.
 
Asante sana dear kwa ushauri mzuri. Ngoja nifanye hivo halafu nilete mrejesho
 
Tafuta heating pad, inasaidia sana kurelax muscles and relieve cramping. Unakunywa na chai ya tangawizi, Ginger ni anti-inflammatory lazima upate relief tu. If conventional medicines is your route, basi tafuta GOFEN ni dkika za kuhesabu tumbo linanyamaza although you have to take painkillers moderately au imebidi sana. Usizoee painkillers ndio zinatajwa sana kuharibu figo. Pole and lets embrace the beauty that is WOMANHOOD
 
Back
Top Bottom