P J O
Senior Member
- May 3, 2024
- 189
- 264
Kuna dawa Inaitwa ACEFEN inapatikana pharmacy, hii komesha ya tumbo la period.wanawake tunapitia hali ngumu sana hasa inapofika zile siku maalumu.
Ni dawa ipi nzuri au kitu gani kinaweza kufanyika kupunguza maumivu?
Muhimu pia kuzingatia kutumia vyakula vyenye madini ya Magnesium na Calcium kama Maziwa