Mekucheki inboxAsante nitazingatia hilo
Wa kulaumiwa hapo ni Eva/Hawa.wanawake tunapitia hali ngumu sana hasa inapofika zile siku maalumu.
Ni dawa ipi nzuri au kitu gani kinaweza kufanyika kupunguza maumivu?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Dawa ni mimba tu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ungo umevunja lini?
Haipo!Naomba dawa nyingine 😜