Dawa kiboko ya panya ni ipi? mbona nimemaliza dawa na tatizo haliishi

Dawa kiboko ya panya ni ipi? mbona nimemaliza dawa na tatizo haliishi

tumia ule mtego wakubana ule hauishi na sio rahisi kuharibika wataisha ule mtego umekaa kikatili sana..
 
Ushajiuliza wanatokea wapi au kwanini wanapenda kuja sana hapo..., pamoja na dawa huenda ni bora kuondoa hicho kivutio chao.... (In short waondolee chakula i.e. usiache vyakula vimezagaa hovyo, funika maji n.k. na hakikisha kama kuna sehemu za makazi yao pia unaondoa au kuzifanya sio rafiki)
 
Wakuu msaada nimemaliza dawa ila panya hawapungui

Kuna kiboko nyingine
Tumia vidonge fulani fulani hivi vya tiba ya mifupa kwa binadamu. Vidonge hivyo vinaitwa kwa jina la "Androgen", kama sijakosea jina.
Vidonge hivyo ni sumu nzuri sana ya kuulia panya kwa sababu:-
1. Ni rahisi Sana kuitumia, unawachanganyia kwenye chakula kama vile unga wa sembe.
2. Panya wanakufa wakiwa wamekauka, hivyo hawatoi harufu mbaya.
3. Vidonge hivyo siyo sumu kwa wanyama wengine wa kufugwa kama vile kuku, paka, au mbwa ambao watakula mizoga ya panya waliokufa kwa sumu hiyo.
4. Vidonge hivyo havitoi harufu kali ambayo itawafanya panya waweze ku-detect uwepo wa sumu kwenye 'chakula Cha mtego.', n.k.

NOTE:-
Ukiwatega panya kwa kutumia mtego huo hakikisha kwamba unafunika kabisa ndoo za maji zote kabisa ili panya wakose kabisa kunywa maji baada ya kula chakula cha sumu. Wakipata nafasi ya kuweza kunywa maji basi hawataweza kufa.

Huu ni ushuhuda kutokana na uzoefu wangu binafsi kuhusiana na suala kama hili.
 
images (48).jpeg
 
Kiboko ya Panya ni Wamakondee!

ULIZA SWALI LENGINE.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Paka ndo kiboko ya panya.

Hutaona panya anakatiza hata kwa bahati mbaya.
 
Mkuu kama umemaliza dawa zote hap sio panya hao ni watu, badilisha strategy kamanda.
 
Back
Top Bottom