Dawa kiboko ya panya ni ipi? mbona nimemaliza dawa na tatizo haliishi

Panya ni hatari sana huwa wanatabia ya kuisoma mitego ,wakikamatwa wachache wengine wanaanza kubuni mbinu za kuepa
 
Hii unaitumiaje mkuu
Changanya na unga kwasababu hauozi, weka kwenye kona zao hata wiki mbili.. funika chakula na maji. Ni salama kwa binadamu kulinganisha nu sumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…