Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,662
- Thread starter
-
- #21
Waeleze hawa jamaa, maana wengi wamestruggle kupata visa mpaka basi!Hahaha jamani acheni tu. I can bet, Kutia maguu states let alone kuishi kule ni dream ya kila mtu.
Mimi tokea nakua i have always wished to get there....nashkuru Mungu ndoto yangu ilitimia nikafika, nikaishi na nikarudi zangu TZ. Ukikaa sana kule ukirudi trust me pale pale JKNIA utapaona bongo pa kifal.a sanaa cz kuna this life style unai experience ni tofauti kabisa na huku (hata kama huna hela)....ila ndio hvyo nyumbani ni nyumbani tu.
UK or US visa sio biskuti baba anakuletea nyumbani. [emoji23][emoji23]
Tatizo wabongo wanachuki dhidi ya diaspora!Mbeba box una shida sana,yani uko nchi ya watu unajigamba kama umeshinda mauti,acha vurugu,kusanya hela uwatumie ndugu zako watanue!
Nyani Ngabu na Simplicity. hawafahamiani!Ni nani asiyekutambua wewe Nyani Ngabu kuwa ndo unatumia hii Id unayojiita "Simplicity"
[emoji2] Ukiwa muongo unatakiwa uwe a kumbukumbu, nasubiri uje kunipinga hapa ili nikudondoshee ushahidi uumbuke kabisa.
Unatafuta umaarufu ili iweje? USHAMBA TUU
Sio wote,Nilivyomwelewa sio wote wanaokaa TZ ni wala vumbi bali kuna jamii ya watu flani
Hao wanaokuomba hela na kuwa tegemezi ni wala vumbi wenzio, sijui walitoroka nini huko uliko! Wazungu walituibia ndio wakajenga Ulaya wakati wa ukoloni. Diaspora wanamega rasilimali walizoiba kisela. Dharau kitu gani? Wewe mwenyewe hapo kuna watu wanakudharau, mbaya zaidi ni walavumbi wenzio. Na ushamba ni kitu gani? Wewe ukitua NYC si utang'aa macho mpaka yang'oke, sio ushamba ni nini sasa!tatizo kubwa ambalo huwa naliona kwa watz wanaozamia nje ya nchi, ni ushamba tu. yeye anaona raha sana kukaa sehemu anaona mazingira mazurii, hajui wenzake waliyajenga kabla yeye hajaenda, hata kama hana hela anajiona yuko juu, kumbe unaweza mkuta mtz amebaki hapahapa bongo ametengeneza hela balaa lakini anaishi zake kibaha au chaline, moro etc tu hapo.
huko ulaya mnapata shida sana, rudini nyumbani, mnadharaulika kwanza kwa rangi yenu, dini zenu, na umasikini wenu. mnashinda kutitisha/kutawaza vizee vya kizungu na matahira tu huko, kubeba mabox na kujifanya mko juu wakati mnaishi maisha magumu balaa.
halafu, mbona tukija huko mnatuomba sana hela wakati nyie ndo mko ulaya sisi tunatoka bongo? mmepauka kam ahamko ulaya..hahaa. hakika nakuambia, kati ya vitu vya kuepuka ukitembelea ulaya au america, ni kuwa karibu na mtz mzamiaji. wanakuwa tegemezi hadi kwa wanafunzi. mtu amekuja zake kusoma tu huko lakini mababa mazima yanaomba hela ya kula yanatia huruma, rudini home, acheneni na utumwa huo. dah.
Sasa wala vumbi wakisikia hivyo, wanataka kuhara!Ila Kwa upande wangu namshukuru Mungu sana tena sana niko hapa nabeba boksi. Sijui ningekuwa bongo nakula vumbi na kung'atwa na mbu ingukuwaje? I swear ningekomit suicide. Shida, zarau na masimango niliyopitia *****.
Siyo tajiri ila laif simple ninayo amani na furaha.
God bles Denmark
nikikuuliza unafanya kazi gani huko na haujasoma shule, utasemaje mzee. ni kazi gani hizo unafanya huku mkirudi mnarudi na koti tu na kabegi mgongoni? tumeshakuja kusoma huko tumeishi sana, na ninyi mnatuomba hela na mnatia huruma hadi mbele ya sisi tuliokuja kama wanafunzi. poleni sana.Waeleze hawa jamaa, maana wengi wamestruggle kupata visa mpaka basi!
tatizo mnaenda huko hamjasoma halafu mnakuwa watumwa na kufanya kazi za kitumwa. ndio maana akili zenu nyie wooote zinafanana. nilimshangaa siku moja boss wenu le mutuz, anahojiwa anasema ati yeye kuishi 30 years nje, amewazidi watu wengi sana upeo na akili..hahaha, nilishangaa kwasababu mimi kwa kumsikiliza tu niliona akili yake ndogo kama ya la saba. akili zenu huwa hazikui, ulimbukeni na ushamba tu. hata mtu mzima utafikiri mtoto. hata hao wazungu wanawashangaa.Sio wote,
Hao wanaokuomba hela na kuwa tegemezi ni wala vumbi wenzio, sijui walitoroka nini huko uliko! Wazungu walituibia ndio wakajenga Ulaya wakati wa ukoloni. Diaspora wanamega rasilimali walizoiba kisela. Dharau kitu gani? Wewe mwenyewe hapo kuna watu wanakudharau, mbaya zaidi ni walavumbi wenzio. Na ushamba ni kitu gani? Wewe ukitua NYC si utang'aa macho mpaka yang'oke, sio ushamba ni nini sasa!
Ni nani asiyekutambua wewe Nyani Ngabu kuwa ndo unatumia hii Id unayojiita "Simplicity"
[emoji2] Ukiwa muongo unatakiwa uwe a kumbukumbu, nasubiri uje kunipinga hapa ili nikudondoshee ushahidi uumbuke kabisa.
Unatafuta umaarufu ili iweje? USHAMBA TUU
Nyani Ngabu na Simplicity. hawafahamiani!
Wewe mgonjwa nini, hao uliokuwa unawapa hela ni ndugu zako, walavumbi wenzio waliotoroka, kwa hiyo wewe ulisoma nini na wapi? Muhaya nini ? Na elimu yako kama sio umeishia kula vumbi na kuwa na akili kama ya prof pumba tu! Sisi ni namba nyingine. Kaa zako Mpwerendendondo huko. Ulaya au America wewe huwezi kuishi, kula vumbi huko.nikikuuliza unafanya kazi gani huko na haujasoma shule, utasemaje mzee. ni kazi gani hizo unafanya huku mkirudi mnarudi na koti tu na kabegi mgongoni? tumeshakuja kusoma huko tumeishi sana, na ninyi mnatuomba hela na mnatia huruma hadi mbele ya sisi tuliokuja kama wanafunzi. poleni sana.
Hhhaaaaahahahaha lo
Nyani Ngabu
Kuna watu na majinuni humu.
Wanaona maruerue halafu wanaanza kujihisi, kuhisi wengine, na kujishuku pasipo hata na sababu.
Sasa mimi na wewe wapi na wapi?
Foolery.
.....siwezi dharau ndugu zangu kwa kuwaita wala vumbi.... kisa nakaa kwa wazungu huo ushamba......stupid nigga!
Wazungu wenyewe wakirudi kwao toka Bongo airport pale wanalia,wanajua wanaenda kwenye matatizo huko kwao.Mpuuzi ww what is the big deal kuwa kwa wazungu.... jambo la msingi ni kumek cash....juzi nimerudi Tz kutoka Miami......tar 3 naelekea Tokyo .....siwezi dharau ndugu zangu kwa kuwaita wala vumbi.... kisa nakaa kwa wazungu huo ushamba......stupid nigga!
Wanamgwaya Nyani kama Van damme wa Sinza!
Bongo so kote kuna Mbu mikoa mwingine ni baridi kama huko mbeleIla Kwa upande wangu namshukuru Mungu sana tena sana niko hapa nabeba boksi. Sijui ningekuwa bongo nakula vumbi na kung'atwa na mbu ingukuwaje? I swear ningekomit suicide. Shida, zarau na masimango niliyopitia *****.
Siyo tajiri ila laif simple ninayo amani na furaha.
God bles Denmark
Hawa jamaa vichwa vyeo ni finyu, kama sanasana kuzunguka kwake kaishia Manzese, mwingine Dar anaisikia tu, ukichanganya na vumbi lazima akili zao ziwe zimeziba! Wamwuulize JK mambo ya Europa na America.Ila huoni shida kuwadharau ndugu zako walioenda kutafuta maisha kwingine na kuwaita wabeba maboksi na watawaza vizee eh?