Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,662
- Thread starter
-
- #141
Sasa mbona uliacha vyuo vyenu ukaenda Ulaya? Kwa nini hukwenda Teku au Teofili Kisanji? Kwa roho yako mbaya, hukutoa hela mfukoni, vinginevyo itakuwa ndio wale ambao baba zao wameibia sana hii nchi.akili zenu zimetawaliwa na wazungu hadi mnaamini kila anayesoma ulaya au america anasomeshwa na wazungu. ndio maana tunawaita watumwa nyie, rudini kwenu mpone. kwa taarifa yako, hela ilitoka mfukoni mwangu. sihitaji kubishana na wewe mtumwa wa wazungu.
Anhaaaa.... kumbe??Ooooooh mwambie nyani ngabu aje gheto kuna mshikaji anafungulia radio saut kuubwa wimbo wa ccm mbele kwa mbele
Wacha wee...Hahaha jamani acheni tu. I can bet, Kutia maguu states let alone kuishi kule ni dream ya kila mtu.
Mimi tokea nakua i have always wished to get there....nashkuru Mungu ndoto yangu ilitimia nikafika, nikaishi na nikarudi zangu TZ. Ukikaa sana kule ukirudi trust me pale pale JKNIA utapaona bongo pa kifal.a sanaa cz kuna this life style unai experience ni tofauti kabisa na huku (hata kama huna hela)....ila ndio hvyo nyumbani ni nyumbani tu.
UK or US visa sio biskuti baba anakuletea nyumbani. [emoji23][emoji23]
Wewe ni mmoja ya wabeba box ambao mko humble sana na hamnaga matatizo na mtu.. Keep it upIla Kwa upande wangu namshukuru Mungu sana tena sana niko hapa nabeba boksi. Sijui ningekuwa bongo nakula vumbi na kung'atwa na mbu ingukuwaje? I swear ningekomit suicide. Shida, zarau na masimango niliyopitia *****.
Siyo tajiri ila laif simple ninayo amani na furaha.
God bles Denmark
Umesahau ulijianzishia uzi kwamba wanawake wala vumbi wanakusifia unanukia alafu ukajimention kabisa watu wakujue??Nyani Ngabu na Simplicity. hawafahamiani!
mkuu hii comment yako na avatar yako hapo amn tofaut umecomment unalia kabsaaa hahahahaAcha ushamba.tatizo mnajiona bora uko mlipo.utafikiri mpo peponi.kutuita wala vumbi.mnaanzisha bifu zisizo na maana.
Tatizo hawajui kujenga scene kichwani(fikrani)pindi wanasoma post zako,mbona zinaonesha binti mrembo tena mweupe wa haja [emoji125]just imagine mtu badala ajadili mada anakuja kutoa povu huku eti mimi ni mwanaume .hata mfano ningekuwa mwanaume inamuhusu nini? si afanye yake yaliyomleta? wala vumbi kweli ni matatizo kumbe Nyani Ngabu hajakosea .ndo maana jamaa huwa anawachana live maana utoto mwingi
Wewe kweli mbuzi, hao unaowataja siwafahamu. Sifahamiani na mla vumbi wala mtu yeyote humu.Wewe ni mmoja ya wabeba box ambao mko humble sana na hamnaga matatizo na mtu.. Keep it up
Komaa nao hao mbuzi wala vumbi, akili zimewaruka. Mimi ndio naiaga jf hivyo.Ushahidi wako kuwa mi ndo Simplicity uko wapi?
Ushahidi uko mwingi sana wa kukuumbua wewe limbukeni, embu anza kwanza na huu https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/16934295Nyani Ngabu na Simplicity. hawafahamiani!
Ushahidi wako kuwa mi ndo Simplicity uko wapi?
Uko wapi huo ushahidi?Ushahidi uko mwingi sana wa kukuumbua wewe limbukeni, embu anza kwanza na huu https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/16934295
Acha ushamba na mikogo ya kingese, maana haina faida yoyote
Kila la kheri huko uendako.Komaa nao hao mbuzi wala vumbi, akili zimewaruka. Mimi ndio naiaga jf hivyo.
Si waziunganishe hizo id wanasubiri nini ,halaf uje ile pandeUko wapi huo ushahidi?
Nawapa kiwewe hadi mnaona maruerue.
Kila mtu mnamhisi ndo mimi.
Ipo siku mtajihisi wenyewe kuwa ndo mimi.
ila nakupenda sana.una adabu sana wewe kaka .basi tu maisha napenda mwanaume mnyenyekevu kama wewe!
ipo siku tu
Asilimia kufa ya watanzania wanaokwenda abroad maisha yamewapiga bongo.wakaamua kukimbia.hata nauli Mara nyingi uwa mmeiba.na mkifika huko shida tupu.kama mngekuwa na maisha mazuri,kazi nzuri na nyumba bongo msingekimbia.