Dawa ya chuki ya wala vumbi ni Nyani Ngabu

Dawa ya chuki ya wala vumbi ni Nyani Ngabu

1. Wewe ni muongo na mzushi mkubwa. Mimi siyo Simplicity. Na huna ushahidi wowote ule kwa sababu mimi siyo huyo jamaa.

2. Nilichodanganya mimi ni nini hadi uniite muongo?

3. Mimi nitafute umaarufu humu? Kwa taarifa yako sina haja yoyote ile ya kutafuta umaarufu humu. Mimi tayari ni maarufu.

*Tatizo lenu wengi wenu nadhani huwa nawapa kiwewe sana hadi mnaishia kuona maruerue na kuanza kujihisi na kuhisi watu kimakosa. Wengine hata nikiwa nachangia mada huwa wanadhani nawazungumzia wao wakati hata habari nao sina. Wengine ndo kama wewe sasa. Umejiaminisha kuwa mi ndo Simplicity wakati mimi na huyo bwana ni watu wawili tofauti kabisa. Simjui hanijui. Mara mdai mimi ni Richard Mugizi, mara mdai mimi ni Ndjabu da Dude, mara mdai mimi ndo Simplicity...seriously?*

Valentina njoo uone muona maruerue mwingine huyu!
jamaa hawajawahi kukanyaga home toooo much stress that why?

swissme
 
Back
Top Bottom