Dawa ya huu ugonjwa msaada

Dawa ya huu ugonjwa msaada

Pole kapime HIV, hiyo unaonekana kama herpes zoster aka mkanda wa jeshi
 
Sio lazima iwe HIV unaweza kuwa ugonjwa wowote unao depress immunity kama kisukari
Au kama upo mbali na hospital tafuta tafuta acyclovir cream na tabs
 
Haikubalik hiiii dawa tutoe wengne
Af ww ukale huo mteremko hapana

Ntaandamana[emoji17] [emoji17]
Mkuu.....
Nyimkisha mtibu, minamalizia kwa kumfanyia maombi....[emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
?? Herpes zoster
But it is Mkuu ukienda hospital for further investigations.
 
Nilisikia dalili za mkanda wa jeshi nazo zinafanana hivi,doctor tu ndiye atakaekupa jibu sahihi ukiwa umeshafanyiwa vipimo.
 
Na kuomba ununue vitunguu swaumu na asari kubwa na habati soda hivo vitunguu uvimenye arafu uvipondeponde alafu changanya nahio habati soda uchemshe ukiepua jikoni changanya na hioasari matumizi utakujwa nusu kikombe nakujipakaa mwiri mzima kutwa marambir baada yasiku kumi niambie unaharingani siowewe pekeako nimesaidia wengi asante ungua salama
 
Back
Top Bottom