Dawa ya huu ugonjwa msaada

Dawa ya huu ugonjwa msaada

Hapana kanisan kwetu n
Maalumu kwa akina

Aika,pendo,Stella, pekeake
[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]
Kumbe ndiomaana skuizi siwaoni kanisani kwetu.......[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Inawezekana pia ikasababishwa na minyoo wengi tumboni. Sumu wanayotoa inasababisha ngozi kuwasha ktk baadhi ya maeneo ya mwili na ukijikuna hali ndio inakuwa hivyo
 
Mzee bila kukuona ww na Gudume huwa nahc kama Jf bado haijakamilika,Mungu awapeni uzma na afya njema milele
Duhh......[emoji87] [emoji87]
Kumbe na uzee huu, kuna ambao mnakosa raha nisipo onekana eeehhhh....[emoji15] [emoji15] [emoji15]

Amen....[emoji120]
Barikiwa sana comrade
 
Kumbe ndiomaana skuizi siwaoni kanisani kwetu.......[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Nafkir mmaomb yenu co
Mubashara ndo maana
Hamuwaon[emoji12] [emoji12]

Wanatakaga maombi mubashara
Bhana yan unawaombea
Mpa wao wenyewe wanaona


Hapa kweli wameombewa
Mpaka mungu anawaonekania
[emoji125] [emoji125]
 
Hapana aende Hospital to be honest apime hata na hiv maana hiyo ni kama Herpes zoster
 
Back
Top Bottom