Amigo.....najua ukiwazacho
Pole sana BIBIE Mahoundaw...!!Naomba msaada wa tiba ya ugonjwa huu kama picha inavyojionyesha.
View attachment 533864
Naomba msaada wa tiba ya ugonjwa huu kama picha inavyojionyesha.
View attachment 533864
Haikubalik hiiii dawa tutoe wengneUkipona naomba unitafute, nina ujumbe wako....[emoji5] [emoji5]
Hahaha ngoja nikuacheAmigo.....
Naona unanitafutia ban ya lazima hapa....[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mkuu.....Haikubalik hiiii dawa tutoe wengne
Af ww ukale huo mteremko hapana
Ntaandamana[emoji17] [emoji17]
Ngoz haiwashi?Naomba msaada wa tiba ya ugonjwa huu kama picha inavyojionyesha.
View attachment 533864
UNATUMIA CREAM?Naomba msaada wa tiba ya ugonjwa huu kama picha inavyojionyesha.
View attachment 533864
MMEA MKUU UPAKE UTOMVU WAKE NA KAMA KUNA MAUMIVU TUMIA ANT PAIN TU USIMEZE ANTIBIOTICAloevera mafuta, cream au mmea wenyewe